ewura

korino

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,004
659
Habarini janan...jana nlipigiwa cm ewura wameniita kufanya interview tarehe 12.12.2013! Kwakuwa nlikuwa kwenye kelele yule dada ckumckia vzuri wap nafanya...kadri nlivyojitahd nimckie na cm yangu ina matatizo ya spika sikumckia..akakata cm! Naombeni kwa yyte alieitwa anijuze! Na je interview zao znakuwaje?ni km zle zakuitwa watu wote walioapply au hawa wenzetu Wako vizuri???mana nko mkoan nicjepoteza nauli yangu bureee
 
EWURA pesa ipo tena sana wako njema,lakini kuhusiana na kusema kuwa wanaita watu wote kama watu wa tume ya ajira ndiyo hapo sipajui vizuri
 
Hivi hawajatangaza kwenye magazeti, make niliambiwa kuwa watatangaza shortlisted kwenye magazeti kama walivyotangana nafasi za kazi....
 
Kwani bibie umeitwa nafasi gani? mie mwenyewe niliomba ila sijajua ni zipi walizoanza kuita

me nliombaga ile ya administrative cum......ilitokaga July km ckosei! Then hv juz juz tu waltoa nyingne nliappy ya receptionist...wewe je
 
hebu nijuze walitumia landline walivyokupigia cm au hizi number za kawaida coz nlikuta Missed call kwenye cm yangu then nkajaribu kupiga haipatikani na mm nliomba kaz uko pia ebu nitoe wasiwasi bidada.
 
Walitumia cm za mezani na sio hz za kawaida..we ulkuta no.ipi?
 
Walitumia cm za mezani na sio hz za kawaida..we ulkuta no.ipi?

Kama hivyo si uwapigie uwaulize?
Pia nakushauri sana uende usifikirie kula hasara nauli itakupa hata eperience ya interview. Ingawa kazi stage yako wanao qualify huwa wengi ile mbaya.
 
me nliombaga ile ya administrative cum......ilitokaga July km ckosei! Then hv juz juz tu waltoa nyingne nliappy ya receptionist...wewe je

Commercial Officer- petroleum ndiyo niliyoomba dada
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom