TEHETEHEEEE, mtoa post utanvunja mbavu jamanHatimaye serikali sikivu na tiifu kwa watanzania yawapandishia umeme watumiaji wa umeme kwa 8. Hii ni baada ya serikali kukataaa ongezo lililoombwa na Tanesco la 18 sawana na VAT nyingine. Kama wangefanikiwa mtumiaji angekuwa anakatwa zaidi ya 30%.Pia Rais wa Tanzania amepiga simu clouds Tv kuwatakia kheri na Fanaka ya mwaka mpya wa Tanzania wote.
sasa gharama za umeme kwenye viwanda na minara ya simu ikipanda si ndio mwanzo wa wao kuhamishia gharama kwenye bidhaa zinazozalishwa.Jamani guys tuelewe kitu kimoja, tusi comment bila kuwa na all information
In kwamba
Kwa watumiaji wa. Chini ya Unit 75 umeme haujapanda hata sh 10 wataendelea kununua umeme kama zamani. Wataendelea kununua unit 1 Kwa sh 100, tofauti na pendekezo LA TANESCO walikua wanataka sh 105.
Wale wateja Wa majumbani wanaotumia above unit 75 wataendelea kununua umeme Kwa bei ile ile ya sh. 350 tofauti na sh 402 iliyopendekezwa na TANESCO
T1b wateja wenye matumizi ya kawaida na viwanda vidogo , mabango na Minara ya simu kuanzia hapo ndio bei zimepanda.
All in all wateja Wa majumbani hawajawa affected hata robo.... Tuache mihemuko tuongee Kwa facts