elineema William
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 577
- 288
Aissee mbona mambo yanazid kuwa magumu
Mwili wangu upo Tanzania lakini mawazo yangu yapo Marekani sitaki stressUyu ndie yule aliejiita mtetezi wa wanyonge?
kaka mimi najiuliza tutadanganywa mpaka lini? Yaani viongozi wetu kwanini wanatuona sisi kama Mazuzu?Wakija wasikilize vizuri na ndio utajua ukweli unatuweka huru.
Sijui watakuja na kisingizio gani maana kama ni US Dollar by the time wanayasema ilikuwa juu kuzidi sasa, 2,250/-
Kwani wewe hapo ulipo unajitambua ? Hahaa uwiii mazuzu katika ubora wetukaka mimi najiuliza tutadanganywa mpaka lini? Yaani viongozi wetu kwanini wanatuona sisi kama Mazuzu?
Mh Makamba Alituambia wakati Akiwa naibu waziri wa mawasiliano, kwamba Tukiunganishwa na Mkonga wa Taifa bei za Mawasiliano na Vifurushi vya Internet vitapungua bei.
tukapunguziwa bei lakini kabla ya uchaguzi mkuu jamaa wakageuka Kama Nyoka tukapandishiwa bei bila kuambiwa sababu za msingi.
Sasa hivi umekuja Umeme hivi kweli serikali inatufikiriaje sisi wananchi wake?
Gharama za maisha zimependa sana, ukipandisha Bei ya umeme, moja kwa moja utapelekea Mfumuko wa bei Ambao mzigo uo anabebeshwa Mwananchi.
Mkaa ghali, ges gali, umeme ndiyo umeshakua Anasa sijui tunakwenda wapi Mungu Atusaidie watanzania.
Maana siasa imeshindwa kutuletea Nafuu badala yake inatuangamiza kabisa Mungu Turehemu waja wako, wape viongozi wetu moyo wa kuwafikiria wenzao na kuwasaidia badala ya kutuangamiza kabisa.
Siasa ni uongo si kwa Tanzania tu sema wanasiasa wa Tanzania wamezidisha uongo.hapa nawaza hivi kwanini siasa zinatumika kudanganya watu?
Tulidanganywa na Profesa Mhongo kwamba Gesi ya Mtwara ikishaunganishwa kwenye Gridi ya Taifa Umeme Utashuka sana Bei.
Tena tuliambiwa Kuanzia mwaka Huu 2017 bei itashuka kabisa.
Sasa wanakuja kutuambia Bei inapanda?
Hakika siasa tanzania ni Uongo Mtupu.
Mwaka mpya na namba mpya
kaka najitambua ndiyo maana nimejenga Hoja kuuliza Maswali haya.Kwani wewe hapo ulipo unajitambua ? Hahaa uwiii mazuzu katika ubora wetu
Mkuu mtwala ndo wapi huko?Kulikuwa Na haja gani yakuitoa gesi mtwala?
kulikuwa kuna haja gani yakudanganyana bungeni na kumuita kafulila tumbili?
ki ukweli tunakumisi kikwete ila kuna mambo kadha wa kadha kwenye uongozi yako ynakuja kumkosti magufuli wa watu.
Ndio Mtwara mkuu.Mkuu mtwala ndo wapi huko?
Oooh maana nilijua ni nchi nyingineNdio Mtwara mkuu.
Ulidhani hata anakumbuka tenaMuhongo alisema tunakwenda kupata umeme wa uhakika na wa bei rahisi. Jf wakasema utapanda kwasababu ya escrow. Sasa sijui na mkweli