EWURA yatangaza bei mpya za mafuta, Petroli yaongezeka kwa shilingi 33

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) imetangaza bei mpya za bidhaa ya mafuta.

Bei ya Petroli imeongezeka kwa shilingi 33, Diesel imeongezeka kwa Shilingi 21 na mafuta ya taa yameongezeka kwa Shilingi 11.


EWURA.png


Habari hii imetumika kwenye Kipindi cha JamiiLeo kinachorushwa kila siku jioni katika Channel ya JamiiForums kwenye mtandao wa YouTube.

Kuona kipindi hicho angalia video ifuatayo, acha maoni yako na kisha Subscribe kwenye Channel ya JamiiForums.

 
Uchumi umeshuka kwa kiwango kikubwa bado bei za mafuta zinazidi kupanda ugumu wa maisha unazidi kuongezeka bora watu wateseka wafunguke akili.
 
Ccm mbele kwa mbeleeeeeee,,,wacha waisomee namba eeeeeee,,,,ujinga waooooooo!!! Ccm mbele kwa mbeleeeeeeee!!!!
 
Hata bado mlimchagua wenye ccm namba one ndio muhisabu no one bado two ikifika 10
 
Kumbe ndo mana jana kituo cha mafuta cha pale gerezani kariakoo kilikuwa hakina mafuta kumbe walikuwa wanabania ili wauze leo
 
Back
Top Bottom