EWURA yaomba wananchi kutoa maoni ya IPTL

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
Friday, June 9, 2017
Ewura yaomba wananchi kutoa maoni ya IPTL



EWURAAAAAA.jpg

Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Ewura, Titus Kaguo

Kwa ufupi
Akitoa ufafanuzi kuhusu suala hilo leo Ijumaa jijini hapa, Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Ewura, Titus Kaguo amesema kuna baadhi ya watu wanapotosha umma kwamba tayari IPTL wameshapewa leseni ya kuiuzia umeme Tanesco.

By Peter Elias, Mwananchi pelias@mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imewataka wananchi kuwa wazalendo kwa kujitokeza kutoa maoni kuhusu dhamira ya Kampuni ya kufua umeme ya IPTL kuomba kuongezewa muda wa leseni yake ya kuiuzia Tanesco umeme.

Akitoa ufafanuzi kuhusu suala hilo leo Ijumaa jijini hapa, Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Ewura, Titus Kaguo amesema kuna baadhi ya watu wanapotosha umma kwamba tayari IPTL wameshapewa leseni ya kuiuzia umeme Tanesco.

"Ewura tunapokea maoni ya wananchi kwa maandishi, kwa hiyo itakuwa ni jambo la kizalendo kwa wananchi kujitokeza na kutoa maoni ama kupinga IPTL au kuunga mkono ili itusaidie nasi kufanya uamuzi," amesema.

Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Ewura, Edwin Kidifu amesema mchakato unaofanyika sasa ni wa kisheria na maoni ya wadau ndiyo yataamua IPTL ipewe leseni au laa!

Kidifu anasema IPTL imeomba kuongezewa muda wa leseni yake kwa sababu mkataba wake wa miaka 20 na Serikali wa utekelezaji wa mradi wa umeme unakwisha mwaka 2022.
 
Swali zuri sana hilo Mkuu. Maoni ya Watanzania yatalenga katika maslahi ya Tanzania na Watanzania lakini wanaweza kabisa kuyadharau na kufanya watakavyo kwa sababu wameshashikishwa kitu kinene. Na hayo maoni ya Watanzania yanaweza kabisa kufanywa siri hivyo tusiyajue.

Tukitoa maoni watayafanyia kazi?
 
tapatalk_1497125247394.jpeg

Mikataba iwekwe hadharani kabla hawajatushawishi kutoa maoni ambayo yatakua ni hewa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanamkataba na serikali wawauzie umeme serikali, vinginevyo tanesco iulizwe kama inauhitaji.
 
He warned that any government official who signs such contracts will be swiftly sacked. Magufuli criticized what he called the “extremely high” capacity charges currently being paid by TANESCO to private electricity suppliers like the controversial Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) company.

“Our country must do away with these power rental agreements that have caused us so many problems, such as IPTL and others.

This is because we became too reliant on temporary power solutions from private businessmen,” the president said.

“We are paying capacity charges at extremely high rates ... we are causing (unnecessary) hardships to poor Tanzanians,” he added.

Magufuli made the remarks at the ground-breaking ceremony for the construction of the Kinyerezi II power plant in Dar es Salaam.

The 240MW gas-fired plant, 100 per cent owned by the government through TANESCO, is being built by the Sumitomo Corporation of Japan.

According to official government documents seen by The Guardian, the cash-strapped TANESCO currently spends more than $16.76 million per month (over 36.6 billion/-) to pay capacity charges to a handful of independent power producers.

Under conventional power purchase agreements, payments for capacity are made whether or not electricity is actually generated by the privately-owned power plants.

IPTL, which is at the centre of the infamous Tegeta escrow account scandal, is paid $2.655 million (5.8bn/-) by TANESCO each month as capacity charges for its installed 100 megawatts.

Other foreign companies enjoying similar windfalls from the public power utility firm are Aggreko, which calls itself the world’s largest temporary power generation company, and receives a cool $2.084 million from TANESCO in monthly capacity charges; and Symbion Power, an American energy company with three power plants in the country that are each also earning billions of shillings in similar charges. TANESCO pays Symbion (Arusha) $1.866 million, Symbion (Dodoma) $2.25 million and Symbion (Dar es Salaam) $2.69 million every month.

Meanwhile, the 180-MW capacity Songas power plant located at Ubungo, Dar es Salaam gets the biggest slice of the cake, bagging an eye-watering $5.2 million (approx. 11.35bn/-) as capacity charges from the public power utility each month.

That apart, TANESCO also pays energy charges to these companies whenever it buys electricity from them in cases of power generation gaps from its own turbines.

Noting yesterday that the monthly payments to IPTL and the other private power firms were draining the country’s scarce resources, Magufuli put an immediate stop on similar contracts from now onwards.

“If any (government) expert comes forth with more proposals for power rental agreements instead of proposals on how the government can buy its own power generation plants, that expert is no good and must be removed,” the president instructed the energy ministry.

Tanzania’s energy sector has long been dogged by graft scandals, the most recent being the IPTL-Tegeta escrow account row in 2014 which led to the resignations of several implicated ministers in former president Jakaya Kikwete’s government.

Members of parliament said senior government officials fraudulently authorised the transfer of at least $122 million of public funds from the escrow account held jointly by TANESCO and IPTL to the latter’s disputed owner Singh, through his privately-owned company Pan Africa Power (PAP).

The government officially denied any impropriety in the funds transfer, and PAP also said it was all done legally. However, it was later revealed that the deal was fraudulent through and through.

Apart from the succession of high-level government resignations that followed, criminal charges were also filed on several of the implicated officials.
 
Hahahahaha, kila swali lina jibu sahihi, sasa kama wasomi wanashindwa kuwa na jibu sahihi la huyu mdudu anaitwa IPTL na mkataba wanao wenyewe chumbani sisi tutoe maoni ya nini sasa...

kama wameshindwa kabisa waweke mkataba ubaoni tuusome hapo ndio tunaweza kushauri..
 
Mkurugenzi wa EWURA kashatumbuliwa Jana sa7 Ucku anauguza majeraha saiv.. Mambo Yapo wazi anataka tutoe maoni gani sasa
 
Mkurugenzi wa EWURA kashatumbuliwa Jana sa7 Ucku anauguza majeraha saiv.. Mambo Yapo wazi anataka tutoe maoni gani sasa

Taarifa nilizonazo kutoka kwa mbunge Fulani mwenye mabasi yaendayo Dodoma na mwenye jimbo mojawapo la Dodoma amesema NGalamgosi amekuwa hata rushwa hapokei hivyo wakaamua kumzunguka kupitia viongozi wakubwa. Kwa hiyo Serikali ilikuwa inatafuta njia yakumundoa ila hawakuwa na chochote chakufanya. Bahati nzuri hili la EWURA kutanganza kutaka maoni ya Juu ya leseni ya IPTL kimewauzi serikali kwani kumbe serikali ilitaka hilijambo lisitangazwe ila bali EWURA itoe lesseni kimyakimya. Kwa ufupi ni hivi serikali inataka IPTL iendelee kuzalisha umeme sasa kitendo cha Ngalamgosi kutangaza watu watoe maoni maana yake mission ya serikali ingegoma. Kutokana na hilio basi IPTL watapewa leseni kimyakimya.
 
Kwani Hawa ewura hawana macho Na akili ya kuona kama iptl wanainyonya tanesco kila siku tanesco wanalalalmika ujinga kabisa huu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom