EWURA: Wakagua vituo vya mafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EWURA: Wakagua vituo vya mafuta

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Hofstede, Jan 14, 2009.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Watendaji wa EWURA leo walifanya ukaguzi katika vituo kuona kama vina mafuta au la. mwenye taarifa zaidi atuletee.

  Maswali ya kujiuliza ni je mbona wamechelewa hivi? na mbinu wanazotumia kweli zinaendana na wakati?. Ni rahisi sana kwa hawa jamaa kudanganywa kuwa matank yaliyo ardhini yapo empty kwa kuunganishwa na matank ya siri ardhini kwa pipe na mafuta kuwa pumped kwenye matank hayo ta siri na kuacha yanayokaguliwa empty.
  Kwa wale waliosoma Auditing wanakumbuka kwenye "Auditors Liability" and a London Oil Storage case.

  EWURA.JPG
   
Loading...