EWURA wafuatilieni wasambazaji wa gesi za kupikia

pia ni ngumu kujua uzito kama ni sahihi,nadhani uwekwe utaratibu wa kumlinda mlaji kwa kuweka mfumo au kifaa cha kupima ujazo,sasa hilo limtungi la chuma,mteja haoni ndani kama liko nusu au robo au robo tatu
Usikubali huduma ya kuletewa gas nyumnani kanunue kituo cha mauzo upime kwenye mzani hapohapo ikipungua usichue kwa mfano mtungi wa kg15 ukiwa tupu ,ukijazwa gas mzani unatakiwa usome 30kg
 
Sio kuchakachuliwa tu pamoja na bei wanajipangia wanavyotaka huku kg 15 lake gas yan utazani emura wamelal kabisa
Na sijawahi kusikia wakifanya regulation ya bei za gas wao ni petrol diesel na kerosene tu njoon na huku kwenye gas bwana
 
Hili Ni Tatizo Kubwa Bila Shaka Mkaa Ndiyo Upo Kwenye Chat Hutaki Unaacha
 
Nakumbuka kuna kipindi nilikaa mitaa ya ubungo kibangu... Karibu na kibangu english medium pale kuna nyumba mmoja ya prof. wa UDSM amewapangisha watu pale. Kila siku usiku magari mawili makubwa yakiwa na mitungi ya gesi (jina kapuni) moja likiwa na mitungi yenye gesi na jingine likiwa na mitungi empty yalikua yakiingia pale na kazi ya uchakachuzi ilikua ikifanyika usiku kucha. Na kilichokua kikifanyika ni kuhamisha gesi nusu kutoka mitungi iliyo jaa kwenda mitungi empty.. Na mara nyingi ilikua ni ile mikubwa..
 
Naunga mkono hoja tena nahisi ndio mahali ewura ndio kamba yao ya ulaji inapo ishia .maana ufuatiliaji wao huko ni kama unachelewa sana au aupo kabisa .kuanzia huolela wa kupandishwa bei na ubora wa gesi ni ovyio kabisa
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom