EWURA ni matapeli wa ajira au ni Taasisi isiyo jiendesha kwa taratibu za kisheria?

Leo Asubuhi

Member
Apr 5, 2017
64
43
Wamekuwa wakitangaza nafasi za kazi na watu wanaomba tangu mwaka 2016 mwezi Oktoba, cha ajabu EWURA hawajawahi kuwaita watu kwenye usaili tangu oktoba 2016.

Ni kuwapotezea watu muda na fedha za kutuma maombi, zaidi ni ishara kwamba taasisi haiendeshwi kwa weledi na kwa kasi ya awamu ya tano.

Haiwezekani wawe wanatangaza tu ajira halafu haionekani nini kinafanyika, in case wali cancel ni bora kuutangazia umma na kama hawawezi kazi ya recruitment wapeleke sekretarieti ya ajira
 
Mkuu piga mishe zingine kwa kweli,, unaweza kuitwa iyo na bado ukakosa nafas inakua kazi bure.. Endeleza mapambano sehem nyingine tu
 
Back
Top Bottom