General_cholo
Member
- Jan 28, 2015
- 19
- 1
Nauliza tu, kwa wale waliomba nafasi za kazi Ewura, hivi watu washaitwa kweny interview?
Basi ngoja tusubiri mkuu, wadau watatujulisha apaMkuu sjaskia bdo labda kwa mwenye information. Kamili atupatie
Hii hapanafasi za lini, maana nakumbuka niliomba kama miezi mi 5 iliyopita
Asante aisee, hii siku apply nadhani ile itakuwa ilipita kimya kimya duhHii hapa
Unazungumzia hizi?Asante aisee, hii siku apply nadhani ile itakuwa ilipita kimya kimya duh
Daily news la lini mkuu?Hamkuona kwenye Daily News?
Naongelea hizi za recent, deadline ilikuwa november 15.nafasi za lini, maana nakumbuka niliomba kama miezi mi 5 iliyopita
kazi serikalini bado, mpaka Mzee wetu Presidaa, atoe go ahead. mbona munashindwa kuelewa?Nauliza tu, kwa wale waliomba nafasi za kazi Ewura, hivi watu washaitwa kweny interview?
Yeah, exactly maana nakumbuka ilikuwa kama mwezi wa nne hivi, waliipotezea nini?Unazungumzia hizi?
Sidhani kama wamechukua watu.
Duh mara hii tu wawe wameita.. Labda mwezi upite (from deadline)Nauliza tu, kwa wale waliomba nafasi za kazi Ewura, hivi watu washaitwa kweny interview?
Kwa waajiriwa wa mikataba ktk mashirika ya serikali ajira zipo kwani mishahara yao haitoki hazina. Check Tanroads nao pia wametangaza nafasi hivi karibunikazi serikalini bado, mpaka Mzee wetu Presidaa, atoe go ahead. mbona munashindwa kuelewa?
Si mikataba tu, serikali inaajiri ila taratibu saana maana bajeti ipo hovyo.Kwa waajiriwa wa mikataba ktk mashirika ya serikali ajira zipo kwani mishahara yao haitoki hazina. Check Tanroads nao pia wametangaza nafasi hivi karibuni