EWURA bado hawajaita shortlisted candidate for interview??

kazi serikalini bado, mpaka Mzee wetu Presidaa, atoe go ahead. mbona munashindwa kuelewa?
Kwa waajiriwa wa mikataba ktk mashirika ya serikali ajira zipo kwani mishahara yao haitoki hazina. Check Tanroads nao pia wametangaza nafasi hivi karibuni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom