ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 642
Ndugu wana jamvi kutokana na kukithiri kwa vitendo vya uhalifu mitaani kwetu kama vile ujambazi , ukabaji ,wizi, uuzwaji wa madawa ya kulevya, biashara za magendo , mauaji, kusafirisha wahamiaji haramu , viungo vya albino .
Wewe kama mwananchi mzalendo ni vema ukalisaidia jeshi la polisi kwa kuweka taarifa hapo za watu au. Kikundi cha watu wanaojihusisha na uhalifu wa aina mbali mbali.
Naamin viongozi wa jeshi la polisi wanapitia hapa na sisi kama raia Wema ni wajibu wetu kuwapa taarifa za watu wabaya wnaosababisha tukienda benk kuchukua hela hatuna amani na vitendo kama hivyo.
Haya wana jamvi jukwaa ni letu, Raia wema kutoa taarifa kwa polisi ni uzalendo.