Ewe mwanamke ni bora ujiongezee kishundu(mkia) kuliko kujichubua

Ila wanapendwa mkuu, wajichubue wavae dera na lichura hilOO!!

Hold on cjamalizia.

Alafu kipigwe kisingeli
 
unamshutumu mtoa mada nikadhani jiwe gizani kapeace hahaha
Wala, mtoa mada yupo sahihi kuzuia kyjichubua tatizo ni pale aliposisitiza kutengeneza chura na kuyasema mabaka ya wanaojichubua je kayaonaje????
 
Dah! Hii Mada yanikumbusha Jana nimemuona mtangazi TV nilimpenda sana zamani kwa uzuri wake natural, kuhamia kituo kingine Jana kawa MWEUPEEEEE!!! dah! Sijui shida nini kwao. Kina dada, Mbona mwahangaika, nimeingia sana.
 
wengine tukipata raha kidogo tu karangi kanakuja sio wote wanajichubua.
 
Back
Top Bottom