Crashwise JF-Expert Member Oct 23, 2007 22,227 8,735 Dec 15, 2013 #2 hii india mtoto wa kike ni mzigo cc Preta Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Chimemena JF-Expert Member Feb 25, 2011 1,376 451 Dec 15, 2013 #3 Mungu mlaani mwenye kutende ukatili huu.
utafiti JF-Expert Member Jul 18, 2013 12,783 7,657 Dec 15, 2013 #5 Ndo maana Mungu ameandaa moto mkali sana kwaajili ya binadamu
mgeni10 JF-Expert Member Nov 29, 2010 1,109 369 Dec 15, 2013 #6 Ni Ukatili Ulio Pitiliza , Maana Mtoto Amekosa nini ?????? Hawana Hatia Kabisa MUNGU Aturehemu
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Dec 15, 2013 #7 Duh maskini katoto very healthy....apumzike salama Laana za mwenyezi mungu ziwafike kwa kila anaedhulumu nasfi za hawa viumbe wasio na hatia..
Duh maskini katoto very healthy....apumzike salama Laana za mwenyezi mungu ziwafike kwa kila anaedhulumu nasfi za hawa viumbe wasio na hatia..
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,846 Dec 15, 2013 #8 Ee Mungu zipokee hizi roho za watoto ambao wanakatishwa uhai wao..