Ewe mume usiruhusu mkeo kuwa na "dressing-table"

Hivi kujiremba kunahusisha kujichubua?
Hapana.Kujichubua ni kubadili rangi ya ngozi permanently.Kujiremba kunapendezesha mwonekano kwa muda mfupi.Ndio maana kuna foundations n.k.Hivyo kujichubua sio lengo la urembo.
kujiremba sana huweza kumfanya mtu abadilike sana na hata kupoteza mvuto.Kwahiyo kujiremba kwa kiasi.
 
Ha ha ha ha haaaaa... Fine art.. Umenikumbusha mbali sana Mkuu, wale Azaboy wenzangu watakua wananielewa.
 
Hapana.Kujichubua ni kubadili rangi ya ngozi permanently.Kujiremba kunapendezesha mwonekano kwa muda mfupi.Ndio maana kuna foundations n.k.Hivyo kujichubua sio lengo la urembo.
kujiremba sana huweza kumfanya mtu abadilike sana na hata kupoteza mvuto.Kwahiyo kujiremba kwa kiasi.
Okay, wewe unafanya lipi kujiremba au kujichubua?
 
Kuwa natural ni muhimu ila mke lazima apendeze.
Lazima awe anakutia genye za kuwahi kurudi home
 
Aiseee dressing table za kike mda mwingine makorokoro mengi kma chumba cha mshana jr
Mzizi mkavu
Jichawi
Mtu mzito
.......
 
Back
Top Bottom