Ewe kijana wa kiume unapata wapi tabia na ujasiri wa kulala na mama yako mzazi?

Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati.

Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo Shule ya Msingi.

Lakini kitu kilichonishangaza zaidi pamoja na kwamba jamaa anafamilia lakini ni wazi na uwazi usiofichika hapa mtaani jamaa anamla mama yake wa kumzaa.

Na isitoshe kijana wa kiume anawezaje kumshika na kushikanashikana makalio na mama yake hadharani nje kila mtu anapita anawaona? Hii ni laana.

Na inasikitisha kwa kweli.
Huyo mama naye ana mawazo gani? Mtoto anaweza akadanganywa kuwa huyo si mama yake, je mana aliyemzaa huyo kijana ana sababu gani ya kumlala?
 
Mtoto anazaa akiwa na miaka 16, mwanaye akifikisha miaka 20(kapevuka),mama anakuwa na miaka 36(bado mbichi kabisa analika).
 
Kama sio mama wa kufikia basi hapo ni ushirikina unahusika 100%
 
Kuna evidence yoyote hapo, au jamaa yupo karibu tu na mama yake kipenzi wapumbavuu mmeanza kuongea ujinga. Hizi tuhuma nzito sana sio za kuongea ongea tu.
 
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati.

Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo Shule ya Msingi.

Lakini kitu kilichonishangaza zaidi pamoja na kwamba jamaa anafamilia lakini ni wazi na uwazi usiofichika hapa mtaani jamaa anamla mama yake wa kumzaa.

Na isitoshe kijana wa kiume anawezaje kumshika na kushikanashikana makalio na mama yake hadharani nje kila mtu anapita anawaona? Hii ni laana.

Na inasikitisha kwa kweli.
Hiyo ni kesi ya jinai kosa linaitwa INCEST. Pia kutoripoti kosa la jinai likitendeka unatazama tu nalo ni kosa la jinai. Mtaa mzima mnatakiwa mtiwe ndani mnaona uhalifu unatendeka hamripoti mnatazama tu😄😄😄
 
Back
Top Bottom