Ewe Hawa epuka mambo haya kumwambia Adam

6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
649
1,116
Habari za Asubuh.

Nimeona post hii kwenye account ya BBC swahili.

Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi.

Hata hivyo siku hizi, ndoa nyingi huishia kuvunjika kutokana na sababu moja au nyingine, hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya wanandoa.

Na kama tunataka amani ndani ya familia lazima kutakuwa na matukio magumu , na mwanamke anapaswa kusaidia katika utatuzi wa mambo hayo.

Yafuatayo ni mambo 5 ambayo mwanamke hapaswi kumwambia mume wake/mpenz wake

1. Idadi ya wanaume uliojamiiana nao kabla ya kuoana na mume wako

2. Kusema siri za mpenzi wako wa kiume au mume wako.

3. Usimwambie mume wako kwamba unampenda sana rafiki yako au shemeji yako

4. Usijaribu kumwambia kuwa unamchukia mama yake au familia yake
5. Usimtishe mume wako kuwa utakuja kuachana naye

Ni mambo ya msingi sana haswa hilo namba 1,
 
Rafiki yangu anasema aliyewahi kuwa mwanamke wake ilikuwa kila wakikatiza mitaa katika matembezi ya hapa na pale yule mwanamke alikuwa akimpa masimulizi juu ya aidha watu waliokutana nao na kupishana nao au nyumba (hususan za kulala wageni).

Kwa mfano; wanakatiza mtaani wakaona guest house ,bas yule mwanamke ilikuwa lazima atampa masimulizi juu ya guest house ile kama vile, mpenzi wangu unaona hiyo guest hapo?.... bas hiyo ni kinara kwa kulaza watu wa short time , anaulizwa kivipi? Anajibu - wanawake wengi sana wanaT*mbewa-ga hapo ile Cha fasta fasta. Na vyumba vyake vizuri balaa, halafu ndani Kuna full ac na ni self contained i.e kila kitu ndani kwa ndani mkiingia ni mwendo wa kupeana mikito mwanzo mwisho.

Wakikutana na mwanaume lazima atamuelezea kwa namna yyt ile kama vile, huyo mkaka ni Malaya hatari, ana wanawake lukuki, me mwenyewe alishawahi kunitongoza. Jamaa alikuwa na mipango ya kumuoa lakini alilazimika kupunguza speed ya kuchumbia ili ausome kwanza mchezo umekaaje
 
Kimeo hicho,
 
Usipende mwanamke /mume ,kujua mahusiano yako yaliyopita watu ulowahi kuwa nao Au changamoto za mahusiano ulizowahi pitia n.k ,
Kwenye mahusiano yaliyopita huwa yana mengi yana mazuri na mabaya ,unapomuhadithia huwenda yakamjenga kisaikolojia na kujikuta anakuwa na tahadhari na wewe au kujutia kabisa kuwa na mahusiano ,

Nina Mwanamke niko nae mwaka 11 ila hajawai kusikia kwa kinywa changu mahusiano yangu yaliyopita hata kwa bahati mbaya toka mdomoni mwangu ,na hii imenisaidia kutokunielewa wapi nilikosimamia
 
Rafiki yangu anasema aliyewahi kuwa mwanamke wake ilikuwa kila wakikatiza mitaa katika matembezi ya hapa na pale yule mwanamke alikuwa akimpa masimulizi juu ya aidha watu waliokutana nao na kupishana nao au nyumba (hususan za kulala wageni).

Kwa mfano; wanakatiza mtaani wakaona guest house ,bas yule mwanamke ilikuwa lazima atampa masimulizi juu ya guest house ile kama vile, mpenzi wangu unaona hiyo guest hapo?.... bas hiyo ni kinara kwa kulaza watu wa short time , anaulizwa kivipi? Anajibu - wanawake wengi sana wanaT*mbewa-ga hapo ile Cha fasta fasta. Na vyumba vyake vizuri balaa, halafu ndani Kuna full ac na ni self contained i.e kila kitu ndani kwa ndani mkiingia ni mwendo wa kupeana mikito mwanzo mwisho.

Wakikutana na mwanaume lazima atamuelezea kwa namna yyt ile kama vile, huyo mkaka ni Malaya hatari, ana wanawake lukuki, me mwenyewe alishawahi kunitongoza. Jamaa alikuwa na mipango ya kumuoa lakini alilazimika kupunguza speed ya kuchumbia ili ausome kwanza mchezo umekaaje
Kuna mwingine alienda na mchumba wake gesti, walipoingia ndani tu jamaa anataka kuweka simu yake chaji, demu akamwambia mshkaji hio socket ya dirishani ni mbovu chomeka kwenye soketi ya hapo mlangoni.
Jamaa aliishiwa nguvu ila akajikaza akapiga mzigo katikati ya gemu hasiri zikampanda akachomoa kwenye soketi ya dirishani akachomeka kwenye soketi ya mlangoni, demu akamaindi mshkaji akamjibu tu kwa upole soketi ya dirishani mbovu ila hii ya mlangoni inaingiza chaji vizuri.
 
hatari
 
Back
Top Bottom