Ewe DJ ulio hapo East Africa Radio muda huu

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,137
22,709
Hakika collection hizi nimejikuta nimesahau shida zangu. Unaweka vitu vikali mnoo. Naomba kufahamu

Lakini kuna wimbo wa Burna Boy umeucheza mida ya saa kumi na moja kamili naomba uurudie ikukupendeza.

Wajumbe.
 
Back
Top Bottom