Evolution!!


afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,154
Likes
2,451
Points
280

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,154 2,451 280
mmmmmhhhhh mweheshimiwa ni hatari kuwa nguruwe.......
kila upande kila mtu anakuchukia....
hata wanao kupenda watakuu tu......
hiyo ndo hatari mkuu.....
(borea nyani)
mtu akimgusa nyani kuna Animal control Unity wanakusubiria......
 

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2010
Messages
3,662
Likes
314
Points
180

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined May 27, 2010
3,662 314 180
Uzuri wake mabadiliko ya evolution huchukua karne nyingi. Kwa hiyo sisi na wajukuu zetu wote hatutakuwapo enzi za binadamu - kiti moto.
 

Forum statistics

Threads 1,203,917
Members 457,007
Posts 28,134,662