Evil thoughts never produce peace or good fruits(Mawazo maovu hayawezi kuzaa amani au matunda mazuri)

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Ndugu zangu mabibi na mabwana wanaosoma na kushiriki mada mbalimbali katika JF, natamani sana kuwaambia ukweli, hasa unaotokana na neno la Mungu yaani maandiko matakatifu ya Biblia.

Nitaongelea kwa kifupi jinsi JPM alivyoingiwa na mawazo maovu, ila naomba usichangie kabla ya kumaliza kusoma sentensi ya mwisho ya thread yangu, maana watanzania tuna tabia ya kukurupuka kabla ya kujua undani wa mada.

Matayo 7:17-18 Vivyo hivyo mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya na mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri.

MAWAZO MAOVU YALIYOMWINGIA JMP

1-AMEINGIWA NA WAZO LA KUTAKA KUFUTA UPINZANI TANZANIA KWA GHARAMA YOYOTE ILE.
Hili ni wazo ovu sana lenye athari kubwa sana, maana hupinzani haukuletwa na utashi wa mtu mmoja bali mazingira yaliruhusu sisi watanzania kukubali kuwa na mfumo wa vyama vingi hadi tumeingiza kwenye katiba yetu, na kwa zaidi ya miaka 20 tumekuwa ndani ya mfumo huo ambao umeleta faida nyingi sana Tanzania kuliko anavyofikiria huyu aliyeingiwa na mawazo maovu, kuwa upinzani unachelewesha maendeleo.
Kama siyo upinzani angejulia wapi neno ufisadi, kama siyo upinzani angelijua kuwa madini yanaporwa? kama siyo upinzani ni lini angejua wapi kuwa safari za viongozi nje ya nchi zinaligharimu taifa pesa nyingi na kuletea nchi hasara? wazo ovu lililomwingia la kutaka kufuta upinzani nchi litatumbukiza taifa kwenye hasara na machafuko yasiyo na maana. Lazima afahamu kuwa upinzani upo ndani ya mioyo ya mwanadamu tangu asili maana mwanadamu ameumbwa na utashi, ambao umeyagawa mawazo yake katika njia mbili hasi na chanya. kwahiyo upinzani ni utashi wa mtu.

2-AMEINGIWA NA WAZO OVU LA KUJIHISI YEYE NDIYE MZALENDO PEKEE YAKE.
Hii ni hatari kubwa sana ya mtu yeyote katika jamii kujihisi yeye ndiye mwenye uchungu na jamii kuliko wengine wote, mtu wa jinsi hii hudharau watu wengine na kufikiri yeye ndiye mwenye hati miliki ya jamii husika jambo ambalo siyo sahihi. Huku ni kukosa hekima, na kukosa maarifa ya ki-Mungu. Hata katiba yetu imetupa usawa maana sote tu binadamu.

3-AMEINGIWA NA WAZO OVU LA KULIPA KISASI.
Hakuna mtu yeyote katika enzi za Biblia aliyefanikiwa kwa kulipa kisasi baada ya kuanza kutawala. JPM ana wazo ovu la kulipa visasi kwa watu wote ambao walikuwa kinyume naye na hata wale ambao wanatofautiana naye kimtazamo. Huu mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri.

4-AMEINGIWA NA WAZO OVU LA KIBURI KAMA MFALME NEBUKADNEZA WA BABYLON
Huyu ndugu yangu anahisi yeye ndiye anayejua kila kitu wengine lazima wamsikilize na kukubalina na kile anachokiamua yeye. Halafu anapenda asifiwe na kuabudiwa jambo ambalo litamgharimu muda simrefu. Nebukadneza alijisifia na hata kuchonga sanamu na kulazimisha watu waziabudu. Kuna kipindi alisema Babylon yeye ndiye ameijenga na hakuna wa kumwingilia katika maamuzi yake, Mungu alimpiga vibaya

5-AMEINGIWA NA WAZO OVU LA SHETANI LA KUTAMANI MALAIKA WAISHI KAMA SHETANI
Jambo hili si dogo kama watu wanavyodhani, JPM alisema kwamba atawafanya wale wanaoishi kama malaika wanaishi kama mashetani. Mjumbe wa shetani atatamani watu waishi kama mashetani ila mjumbe wa Mungu atatamani watu waishi kama malaika wa Mungu.

Yapo mengi naishia hapo kwa leo, kuwa wazo ovu haliwezi kuzaa amani au matunda mazuri.
 
Huu ndugu yangu anaisi yeye ndiye anayejua kila kitu wengine lazima wamsikilize na kukubalina na kile anachokiamua yeye. Halafu anapenda asifiwe na kuabudiwa jambo ambalo litamgharimu muda simrefu.

5-AMEINGIWA NA WAZO OVU LA SHETANI LA KUTAMANI MALAIKA WAISHI KAMA SHETANI
Jambo hili si dogo kama watu wanavyodhani, JPM alisema kwamba atawafanya wale wanaoishi kama malaika wanaishi kama mashetani. Mjumbe wa shetani atatamani watu waishi kama mashetani ila mjumbe wa Mungu atatamani watu waishi kama malaika wa Mungu.

Yapo mengi naishia hapo kwa leo, kuwa wazo ovu haliwezi kuzaa amani au matunda mazuri.
Hata wakati wa chama kimoja kulikuwa na ushindani wa wabunge na madiwani wa ccm, ilikuwa wanashindanishwa wawiliwawili
 
Anafikiri akiumaliza upinzani basi mambo yatakuwa shwari, wazo la uovu litamgharimu sana
Hata ndani ya familia yake sio wote wanakubaliana kila kitu hata mke wako unaweza usikubaliane naye baadhi ya mambo lakini inabidi Uwe mvumilivu vinginevyo utakuwa kila siku upo na Mwanamke mwingine
 
Bahati mbaya shetani akikuingia huwezi kumsikiliza yeyote. Shetani hujenga kiburi.
 
Ndugu zangu mabibi na mabwana wanaosoma na kushiriki mada mbalimbali katika JF, natamani sana kuwaambia ukweli, hasa unaotokana na neno la Mungu yaani maandiko matakatifu ya Biblia.

Nitaongelea kwa kifupi jinsi JPM alivyoingiwa na mawazo maovu, ila naomba usichangie kabla ya kumaliza kusoma sentensi ya mwisho ya thread yangu, maana watanzania tuna tabia ya kukurupuka kabla ya kujua undani wa mada.

Matayo 7:17-18 Vivyo hivyo mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya na mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri.

MAWAZO MAOVU YALIYOMWINGIA JMP

1-AMEINGIWA NA WAZO LA KUTAKA KUFUTA UPINZANI TANZANIA KWA GHARAMA YOYOTE ILE.
Hili ni wazo ovu sana lenye athari kubwa sana, maana hupinzani haukuletwa na utashi wa mtu mmoja bali mazingira yaliruhusu sisi watanzania kukubali kuwa na mfumo wa vyama vingi hadi tumeingiza kwenye katiba yetu, na kwa zaidi ya miaka 20 tumekuwa ndani ya mfumo huo ambao umeleta faida nyingi sana Tanzania kuliko anavyofikiria huyu aliyeingiwa na mawazo maovu, kuwa upinzani unachelewesha maendeleo.
Kama siyo upinzani angejulia wapi neno ufisadi, kama siyo upinzani angelijua kuwa madini yanaporwa? kama siyo upinzani ni lini angejua wapi kuwa safari za viongozi nje ya nchi zinaligharimu taifa pesa nyingi na kuletea nchi hasara? wazo ovu lililomwingia la kutaka kufuta upinzani nchi litatumbukiza taifa kwenye hasara na machafuko yasiyo na maana. Lazima afahamu kuwa upinzani upo ndani ya mioyo ya mwanadamu tangu asili maana mwanadamu ameumbwa na utashi, ambao umeyagawa mawazo yake katika njia mbili hasi na chanya. kwahiyo upinzani ni utashi wa mtu.

2-AMEINGIWA NA WAZO OVU LA KUJIHISI YEYE NDIYE MZALENDO PEKEE YAKE.
Hii ni hatari kubwa sana ya mtu yeyote katika jamii kujihisi yeye ndiye mwenye uchungu na jamii kuliko wengine wote, mtu wa jinsi hii hudharau watu wengine na kufikiri yeye ndiye mwenye hati miliki ya jamii husika jambo ambalo siyo sahihi. Huku ni kukosa hekima, na kukosa maarifa ya ki-Mungu. Hata katiba yetu imetupa usawa maana sote tu binadamu.

3-AMEINGIWA NA WAZO OVU LA KULIPA KISASI.
Hakuna mtu yeyote katika enzi za Biblia aliyefanikiwa kwa kulipa kisasi baada ya kuanza kutawala. JPM ana wazo ovu la kulipa visasi kwa watu wote ambao walikuwa kinyume naye na hata wale ambao wanatofautiana naye kimtazamo. Huu mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri.

4-AMEINGIWA NA WAZO OVU LA KIBURI KAMA MFALME NEBUKADNEZA WA BABYLON
Huyu ndugu yangu anahisi yeye ndiye anayejua kila kitu wengine lazima wamsikilize na kukubalina na kile anachokiamua yeye. Halafu anapenda asifiwe na kuabudiwa jambo ambalo litamgharimu muda simrefu. Nebukadneza alijisifia na hata kuchonga sanamu na kulazimisha watu waziabudu. Kuna kipindi alisema Babylon yeye ndiye ameijenga na hakuna wa kumwingilia katika maamuzi yake, Mungu alimpiga vibaya

5-AMEINGIWA NA WAZO OVU LA SHETANI LA KUTAMANI MALAIKA WAISHI KAMA SHETANI
Jambo hili si dogo kama watu wanavyodhani, JPM alisema kwamba atawafanya wale wanaoishi kama malaika wanaishi kama mashetani. Mjumbe wa shetani atatamani watu waishi kama mashetani ila mjumbe wa Mungu atatamani watu waishi kama malaika wa Mungu.

Yapo mengi naishia hapo kwa leo, kuwa wazo ovu haliwezi kuzaa amani au matunda mazuri.
Mavi tu haya, hakuna lolote
 
Back
Top Bottom