Every vote counts!! Kuweka waangalizi vituo vyote vya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Every vote counts!! Kuweka waangalizi vituo vyote vya uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MWEEN, Oct 8, 2010.

 1. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Wakuu,

  Naomba kutoa hoja kwa vyama vya upinzani. Kuna majimbo mengi ambayo upinzania haukuweza kuweka mgombea, kuanzia ngazi ya udiwani, na ubunge. Hasa kwenye majimbo ambayo wamesema wamepita bila kupingwa.

  Kuna uwezekano mkubwa watu wengi wakamchagua mgombea wa upinzani wa uraisi, na hapa ndipo upinzani hautakuwa na wasimamizi. Pia ni wazi kuwa vyama vitaangalia zaidi kwenye vituo walivyoweka wagombea, na kusahau kule wasikokuwa na wagombea.

  CHADEMA, CUF, etc. Kuna mkakati gani wa kutuma waangalizi kwenye vituo hivyo??? Every vote count!!!
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  Kichwa chako cha habari kiliashiria unao mkakati kumbe nawe umeghafilika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Vituo vya kupiga kura ni zaidi ya 52, 0000 mengine ni Mwenyezi Mungu tu ndiye atakayetusaidia
   
 3. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,241
  Likes Received: 1,172
  Trophy Points: 280
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  kINACHOTAKIWA NI KUWEKA WAKALA HATA KAMA NO MBUNGE NA DIWANI BASI ATALINDA KURA ZA RAIS NI MUHIMU SANA.
   
Loading...