Events Management Companies Dar

EIGHTIESTHROWBACK

JF-Expert Member
Aug 4, 2016
328
275
Nataka kuandaa International Business Event hapa Dar event itachukua siku 5 hivi

Je kuna mnaweza ku recommend top 5 events management companies ( zenye website only).

Kama kuna issues za costings na mengineyo ambayo mnaweza ku share name please tujuzane
 
MPP MEDI GROUP
 
kuna dada flani anaitwa pamela ana kampuni yake ya events management alikuwa anafanya kazi USA mwaka juzi ndipo akarudi tz.
Ngoja nikutaftie link ya kampuni yake nikuwekee
 
So far thread ina zaidi ya masa 24 hakuna aliyekuja na jina la kampuni hata moja reputable yenye website ya kueleweka

kisha mnalalamika waKenya wanachukua kazi zenu
 
Mepal management.
Hawa ndiyo walioandaa tukio la kufungia jengo la mwanza shoping mall
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom