evelyn salt naomba nikupe hata vocha ya 500

Rahabu

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
5,525
3,316
yaan mamy najisikia raha mara nying ninapofungua post we unakua wa kwanza kuitoa topc bikra hv hebu niPM nikurushie fasta
 
hivi Tuko nimefanya vibaya kukuambia nakuambia moyo huwa unapunguza kudunda hasa nikikuona au basi naku hate
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde hebu mwite huyo shogayo aje achukue hii vocha nimekwangua muda sana italowana jasho la mkono
 
Last edited by a moderator:
hivi Tuko nimefanya vibaya kukuambia nakuambia moyo huwa unapunguza kudunda hasa nikikuona au basi naku hate

Huna sababu ya kuni hate... mi ni mpole sana kuwa hated aiseeeeee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom