hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 2,808
- 5,585
Sasa hivi si vita ya kisaikolojia pekee na risasi za moto juu.Kagame Anachowafanyia askari wa Tanzania walioko DRC,ni kupigana nao vita kisaikolojia,Askari wa Tanzania walioko DRC wanajua kabisa M23 ni wanyarwanda na walikuwa sponsored na Rwanda,kisaikolojia watakuwa wanaathirika kwamba anayefadhili M23 waliyemfurusha DRC,sasa ndio best friend wa mkuu,nadhani watakuwa demoralised kwamba hawana support kutoka nyumbani .....ni psychological warfare na itawapa M23 kiburi kwamba sasa wanaongea na mwenye nyumba
Tayari tushapoteza askari wetu 14.