Evarist Chahali, hili limenitisha!

Punguza munkari. Vyombo vya dola hapa havifanyi kazi jinsi unavyofikia. Credibility yangu itaharibika pale tu itapobainika kuwa habari hii ni ya uongo.Usinihukumu kabla ya kuchunguza.

Sijamwalika mtu au kusaka msaada wa kusaidiwa au kuonewa huruma. Kutoa au kutokutoa namba ya kesi inabaki kuwa uhuru wangu,na ninaamini huna haki ya kuuingilia.Kama una kiu ya kuhakikisha basi mawasiliano yapo hapo juu.

Tazama usione munkari kwangu kwa sababu umevaa miwani yenye vioo vyenye rangi ya munkari. Munkari kwangu ni kushindwa kufocus. Na kati yangu ninayekataa habari za pretentious openness na wewe unayetoa habari zinazokosa ukamilifu on an inconsistent way, munkari unao wewe. Naweza kusema ukishindwa kutoa case number habari yote ni munkari.

Kwa kusema "vyombo vya dola hapa havifanyi kazi kama unavyofikiria" unataka kuniambia nini? Kwamba unajua ninavyo fikiria?

Credibility yako inaweza kuharibika hata pale habari hii itakapokuwa ya ukweli. Mathalani, utakaposhindwa kujieleza coherently.

Sijakuhukumu kabla ya kukuchunguza. Nakuchunguza. Na ili kuweza kukuchunguza vizuri zaidi, nahitaji case number ambayo hutaki kutoa.

Kama ungekuwa hujamwalika mtu usingeandika habari ndefu. Kuandika na kuposti habari ni kualika watu.

Uhuru wa kutotoa namba ulikuwa nao mpaka ulipoalika watu wapige simu vyombo vya Usalama huko uliko. Ulivuoalika watu wapige simu umealika wayu wa examine case yako. Case number ni detail tu kama kusema uko Scotland au namba ya simu uliyotoa. Tofauti ni level tu. Kama umeona sawa kutangazia umma kuna kesi, kwa nini usitoe namba tufanye review?

Again.

When you come come correct or don't come at all.

Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga. Acha kubeep kitoto. This is JF and Pope Kiranga is not retiring anytime soon.

You are a blogger right? Act like one then. Not like some politician who cannot follow through on his own words.
 
Last edited by a moderator:

Hii ndio tunaita mikwala mbuzi....
 
Kiranga nawe bwana, haiwezi kuisha wiki haujakamatana na mtu?
Unanikumbusha JKT kulikuwa na ofisa wa jeshi yeye alikuwa haupiti mwezi bila kupiga mwanajeshi mwenzake. wewe ukoje?
 
Tunawekana sawa tu.

Huyu bwana kaalika watu kwenye kuangalia kesi yake. Anaulizwa details za kesi longolongo nyingi.

Kama hataki kutoa namba ingekuwa vizuri asingetualika hata tupige simu.

Au hata kupost habari nzima.

Nikisema habari nzima ni tungo tu ya kujipandisha profile atakataa vipi?

Case numner hajatupa.

Chahali. Learn to think critically before you write else your inconsistency will render you an incoherent rambler not above a pitiful self promotion.
 
Chahali ni TISS, sema aliasi. Ingawa kuna usemi usemao "Ukishakula nyama ya mtu........"

Chahali ni mjinga tu kama wajinga wengine.
Chahali alikuwa mwanajamvii wa Usalama wa Taifa
Akaenda kusoma Uskochi
Aliporudi akafikiria ataukwaa Ukurugenzi ukuu
Alipokosa akaamua kurudi kwa mabwana zake wazungu wa Uskochi
Hana Lolote kibaraka wa Wazungu tu.

Sioni kinachomfanya abwate kwamba wanataka kumuua;
Makala zake hazina mashiko hata kidogo
Hazijawahi kuhatarisha usalama wa nchi
Kama yeye akiuawa, @MM Mwanakijiji nadhani atakuwa majivu tayari kwa kuchomwa hai.

DR EVARIST CHAHALI ni wa kupuuza tu, anatafuta umaarufu kwa nguvu.

Bazazi ni Bazazi!
 
don't get me wrong! sio kwamba nakuombea ila ndio ukweli huo, we mwenyewe umekiri. anyway pole kwa hali yako
 
Tazama usione munkari kwangu kwa sababu umevaa miwani yenye vioo vyenye rangi ya munkari. Munkari kwangu ni kushindwa kufocus. Na kati yangu ninayekataa habari za pretentious openness na wewe unayetoa habari zinazokosa ukamilifu on an inconsistent way, munkari unao wewe. Naweza kusema ukishindwa kutoa case number habari yote ni munkari.

Kwa kusema "vyombo vya dola hapa havifanyi kazi kama unavyofikiria" unataka kuniambia nini? Kwamba unajua ninavyo fikiria?

Credibility yako inaweza kuharibika hata pale habari hii itakapokuwa ya ukweli. Mathalani, utakaposhindwa kujieleza coherently.

Sijakuhukumu kabla ya kukuchunguza. Nakuchunguza. Na ili kuweza kukuchunguza vizuri zaidi, nahitaji case number ambayo hutaki kutoa.

Kama ungekuwa hujamwalika mtu usingeandika habari ndefu. Kuandika na kuposti habari ni kualika watu.

Uhuru wa kutotoa namba ulikuwa nao mpaka ulipoalika watu wapige simu vyombo vya Usalama huko uliko. Ulivuoalika watu wapige simu umealika wayu wa examine case yako. Case number ni detail tu kama kusema uko Scotland au namba ya simu uliyotoa. Tofauti ni level tu. Kama umeona sawa kutangazia umma kuna kesi, kwa nini usitoe namba tufanye review?

Again.

When you come come correct or don't come at all.

Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga. Acha kubeep kitoto. This is JF and Pope Kiranga is not retiring anytime soon.

You are a blogger right? Act like one then. Not like some politician who cannot follow through on his own words.

How do bloggers act? Did someone ever lied to you that there's a universal standard of blogging?

To be honest with you, I care less what you think about this issue.Afterall, since when I started writing in 1998 I have never ever thought of convincing folks who read my stuff. I always regard myself as a conversationalist, and my articles or blog posts merely my conversations with whoever who bother reading them-in printed form.

Yes, this JF,and I have been here since 2006, so I very well know all about the doubting Thomases.

Tangu nijiunge na ukumbi huu muda mfupi baada ya kuanzishwa kwake (the current ID is my blog'smembership ID),sijawahi kusaka ridhaa ya mtu-iwe ya kuweka bandiko flani au kufanya bandiko hilo likubaliwe.i tend to follow similar approach in blog posts zangu au makala magazetini.Niombe ridhaa ya msomaji,ili iweje?Nimshikie mtutu aniamini au kukubaliana nami,ili iweje? Whether you believE or not is none of my headaches.

Nimeweka bandiko hilo ambalo kimsingi limetokana na makala yangu katika jarida la RAIA MWEMA,mainly because kama mwana-JF nina uhuru wa kuANdika chochote alimradi simtukani au kumkashifu mtu.Atakayekereka na ninachoweka hapa,hilo ni tatizo lake binafsi,na kamwe sintojisumbua kum-badili mtizamo wake.Mie ni muumini wa mitizamo inayokinzana,alimradi kukinzana huko hakumaanishi kashfa,matusi,kebehi,nyodo au upuuzi mwingine.

Now you have it,how you perceive the story doesn't bother me at all.Wenye uelewa wao wameelewa, wenye ligi zao za ubishi wataendelea nazo.
 
hahaha. ila ni vema ungeniuliza kwanza mkuu kabla ya kutoa kejeli hiyo! nina knowledge kidooogo saaana libahatika kuipata bt si unajua haba si haba! lakini it seems una narcissistic personal disorder pia.
 
How do bloggers act? Did someone ever lied to you that there's a universal standard of blogging?

While there is no standard the zeitgeist points to more accountability and openness, which you faked but shied away from.

To be honest with you

You failed to be honest when you invited scrutiny on your case but refused to give the case number. You cannot say a thing about being honest.

I care less what you think about this issue.

You do care very much, you took your time to write a lengthy ballyhoo that is neither here nor there to win my sympathy. So don't tell me you don't care much about what I think. Had that been the case you wouldn't write a sentence, much less invite me to glean some more information.

Afterall, since when I started writing in 1998 I have never ever thought of convincing folks who read my stuff.

Stop flattering yourself. the very act of writing is a yearning for communication and putting your point across. On the other hand, one would be tempted to say that in claiming to not aim at convincing you are convincing me, no wonder you are all over the place.

I always regard myself as a conversationalist, and my articles or blog posts merely my conversations with whoever who bother reading them-in printed form.

You can't be a conversationalist without points. What will you converse about? Mere ramblings? Once you have points, the mere narration of these points is an attempt to make the reader see your point of view.You are already engaged in convincing.

Yes, this JF,and I have been here since 2006, so I very well know all about the doubting Thomases.

And the doubting Thomases are what make the world go round.

Tangu nijiunge na ukumbi huu muda mfupi baada ya kuanzishwa kwake (the current ID is my blog'smembership ID),sijawahi kusaka ridhaa ya mtu-iwe ya kuweka bandiko flani au kufanya bandiko hilo likubaliwe.i tend to follow similar approach in blog posts zangu au makala magazetini.Niombe ridhaa ya msomaji,ili iweje?Nimshikie mtutu aniamini au kukubaliana nami,ili iweje? Whether you believE or not is none of my headaches.

Tatizo si kwamba unasaka ridhaa ama husaki ridhaa (although there is a case to be made kwamba mtu yeyote anayeanzisha blog, hata kama anadai kwa "conversation" anataka ridhaa kwa namna fulani, wasiotaka ridhaa wameuchuna).

Tatizo ni kwamba uko incoherent, inconsistent, unfocused, rambling all over the place. Unaalika watu wa scrutinize kesi yako kama mtu uliye wazi kabisa, watu wakikuomba detail unaaanza longolongo nyiiingi, wewe si unataka watu wa scrutinize kesi yako yote? Mbona hutaki kutoa detail sasa?

Nimeweka bandiko hilo ambalo kimsingi limetokana na makala yangu katika jarida la RAIA MWEMA,mainly because kama mwana-JF nina uhuru wa kuANdika chochote alimradi simtukani au kumkashifu mtu.

Kwa mwerevu, uhuru wa kuandika si sababu ya kuandika. Kuandika kunakuwa protected na uhuru wa kuandika, lakini ukiandika kwa sababu una uhuru wa kuandika then utakuwa na matatizo makubwa kuliko ninavyofikiri. Mimi nina uhuru wa kuvuka barabara iliyo mbele ya nyumba yangu mara mia moja kwa siku. Lakini ukweli kwamba nina uhuru huo hii si sababu ya mimi kuvuka barabara hii back and forth mara mia kwa siku. Ni lazima kuwe na sababu iliyo zaidi ya uhuru huu itakayonisukuma nivuke barabara hii mara mia kwa siku, kama vile ikigunduliwa kwamba nikivuka barabara hii mara mia moja kwa siku nitapata treasure fulani. then hiyo ndiyo itakuwa sababu yangu.

Sasa nimekukuta unavuka barabara mara mia kwa siku, nakuuliza "Kwa nini unavuka barabara hii back and forth mara mia kwa siku" unanijibu kwa sababu nina uhuru wa kuvuka barabara mara mia kwa siku? Utakuwa ama muongo au mjinga, pengine muongo mjinga.

Atakayekereka

Don't flatter yourself. From your writings you do not posses the requisite intelligence kumkera mtu anayefikiri. Labda guluguja wa kuwinda hapa na pale.

na ninachoweka hapa,hilo ni tatizo lake binafsi,

Kati yako unayeanika matatizo yako katika maisha yako binafsi hapa na kwenye magazeti na wana JF wanaokupa scrutiny unayoitaka, ambayo apparently huiwezi nani ana tatizo binafsi?

na kamwe sintojisumbua kum-badili mtizamo wake.

Hata ungejisumbua uwezo wa kushawishi huna, labda you are giving up on this before even trying because you know you are not up to par.

Mie ni muumini wa mitizamo inayokinzana,

Hapana, umeshatuambia hutaki kushawishi, huwezi kuwa muumini wa mitizamo inayokinzana bila kutaka kushawishi. Hata hao ma buddhist monks wanaokaribia ku achieve perfect equanimity watataka kushawishi watu kwamba njia yao ndiyo nzuri, wewe Chahali umefikia Nirvana gani hiyo ambayo imekuvua haja ya ushawishi. Blog yako imejaa kutaka ushawishi. Contradictions.

alimradi kukinzana huko hakumaanishi kashfa,matusi,kebehi,nyodo au upuuzi mwingine.

Wewe si muumini wa kukinzana, ushaanza kukuwekea mipaka kukinzana. Wewe unafront kuwa muumini wa kukinzana lakini huwezi kuwa muumini wa kukinzana.

Now you have it

To the contrary.I don't have it. You have not made anything clearer. Mpaka sasa naona a bundle of ballyhooing tu.

,how you perceive the story doesn't bother me at all.

If that was the case you wouldn't write the story to begin with. Why bother?

Wenye uelewa wao wameelewa, wenye ligi zao za ubishi wataendelea nazo.

Wewe huna point uliyoandikia, hujataka kushawishi mtu, umeandika some ramblings tu kwa sababu una uhuru wa kuandika, utaelewekaje na yeyote?
 
Chahali ni mjinga tu kama wajinga wengine.
Chahali alikuwa mwanajamvii wa Usalama wa Taifa
Akaenda kusoma Uskochi
Aliporudi akafikiria ataukwaa Ukurugenzi ukuu
Alipokosa akaamua kurudi kwa mabwana zake wazungu wa Uskochi
Hana Lolote kibaraka wa Wazungu tu.

Sioni kinachomfanya abwate kwamba wanataka kumuua;
Makala zake hazina mashiko hata kidogo
Hazijawahi kuhatarisha usalama wa nchi
Kama yeye akiuawa, @MM Mwanakijiji nadhani atakuwa majivu tayari kwa kuchomwa hai.

DR EVARIST CHAHALI ni wa kupuuza tu, anatafuta umaarufu kwa nguvu.

Bazazi ni Bazazi!

Mkuu hiyo signature duh!!!! By the way inawezekana katishiwa lakini kama alivyoamua kuliweka wazi angeweka wazi kila kitu ili jumuiya nzima ijue hata akidhurika basi tuwe na pakusemea.
 
Atakuwa amelikoroga mwenyewe kama alilazimisha "u-double agent". Sasa sijui kama huko uwa kuna kutubu na kusamehewa...

DEBKAfile
Special Report
February 14, 2013, 1:22 PM (GMT+02:00)

Ben_ZygierIDF.jpg

Ben Zygier-Alon as a serving IDF soldier

In the murky world of double agents, no one can be sure who serves whom at any given time. Some straw companies also serve many spymasters - whether as their operating method or out of greed. Ben Zygier-Alon’s mission has not been revealed, but some leaks suggest he may have been mixed up in this kind of vortex and, instead of jumping out, decided on his own bat to follow through all the way to a certain objective, so sealing his fate and possibly betraying his own masters.

The dark labyrinth of straw companies in which Ben Zygier worked
Nimeipitia hii habari na naanza kupata hisia kwa nini PM alisema hata asulubiwe namna gani hatalijadili suala la Meremeta.
 
How do bloggers act? Did someone ever lied to you that there's a universal standard of blogging?

To be honest with you, I care less what you think about this issue.Afterall, since when I started writing in 1998 I have never ever thought of convincing folks who read my stuff. I always regard myself as a conversationalist, and my articles or blog posts merely my conversations with whoever who bother reading them-in printed form.

Yes, this JF,and I have been here since 2006, so I very well know all about the doubting Thomases.

Tangu nijiunge na ukumbi huu muda mfupi baada ya kuanzishwa kwake (the current ID is my blog'smembership ID),sijawahi kusaka ridhaa ya mtu-iwe ya kuweka bandiko flani au kufanya bandiko hilo likubaliwe.i tend to follow similar approach in blog posts zangu au makala magazetini.Niombe ridhaa ya msomaji,ili iweje?Nimshikie mtutu aniamini au kukubaliana nami,ili iweje? Whether you believE or not is none of my headaches.

Nimeweka bandiko hilo ambalo kimsingi limetokana na makala yangu katika jarida la RAIA MWEMA,mainly because kama mwana-JF nina uhuru wa kuANdika chochote alimradi simtukani au kumkashifu mtu.Atakayekereka na ninachoweka hapa,hilo ni tatizo lake binafsi,na kamwe sintojisumbua kum-badili mtizamo wake.Mie ni muumini wa mitizamo inayokinzana,alimradi kukinzana huko hakumaanishi kashfa,matusi,kebehi,nyodo au upuuzi mwingine.

Now you have it,how you perceive the story doesn't bother me at all.Wenye uelewa wao wameelewa, wenye ligi zao za ubishi wataendelea nazo.
Mimi ndie nilianzisha uzi huu kwa kuwa nasoma san makala zako na kwa ukweli mimi zinanivutia.
Naamini umejieleza vizuri katika kila sehemu uliyoamua kuijibu ila naomba utueleze haya,
  1. Wewe kweli ni jasusi?Naamini tunao kina Marando ambao wanjaulikana fika hivyo naamini litakuwa swali rahisi kwako.
  2. Huko Uskochi unafanya kazi,unasoma au una shughuli gani?
  3. Una mategemeo ya kurudi lini home?
Otherwise kila la heri na nitaendelea kusoma makala zako ndani ya Raia Mwema.
 
Back
Top Bottom