Evaluation ya Utumishi written na oral interview

kitigiria

Senior Member
Apr 28, 2014
149
170
Habari wadau,
nimefanya oral interview utumishi na kubahatika kupata marks zaidi ya 80 na kuwa among top 5 naomba mwenye uelewa written interview inabeba wheight gani kwenye evaluation na weight ianyobaki inagawanywaje, naomba taarifa ili nitengeneze strategy nzuri ili nami nipate ajira jamani. nafasi ziko 23
 
Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,399
2,000

Mkuu kwanza hongera sana, then jiandae vizuri kwa ajili ya Oral interview, kwasababu hayo matokeo yako ya Written interview yalikusaidia tu kupita katika Mchujo na kupata nafasi ya kuingia round inayofuata, ila kiuhalsia hayana uhusiano wowote, Maana yake ni kwamba unaweza kuongoza kwenye Written ila ukizingua kwenye Oral safari yako itakua imeishia hapo.., so get well prepared!!!
 
pomo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
265
195
Habari wadau,
nimefanya oral interview utumishi na kubahatika kupata marks zaidi ya 80 na kuwa among top 5 naomba mwenye uelewa written interview inabeba wheight gani kwenye evaluation na weight ianyobaki inagawanywaje, naomba taarifa ili nitengeneze strategy nzuri ili nami nipate ajira jamani. nafasi ziko 23
hata sijakuelewa mdau, umepata hiyo zaidi ya 80 kwenye oral au written? kwani ukifanya oral huwezi kujua umepata ngapi, ila kama unamaanisha hiyo zaidi ya 80 ni written hii haina na mahusiano kabisa na oral
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom