Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Katika gazeti la the East Africa kuna habari tata kidogo kuhusu Jakaya Kikwete, report ina kichwa cha habari kisemacho THE GOOD, THE BAD AND THE UGLY, The African Leadership Index 2012. Wameweka habari za marais kariabia kama sio woooote wa Nchi za Africa. Kuhusu Jakaya Kikwete wanasema.
"HIS POLITICAL STORY:A Military officer who rose to the rank of lieutenant -Colonel, he was intelligence chief before turning to politics. Served as Tanzania's foreign minister from 1995 to 2005, when he was the presidency as a candidate of the long-ruling chama cha Mapinduzi (CCM or party of revolution). Has won accolades (and development dollars) from abroad for investing in education. Playes a last minute but critical role in helping Kenya return to peace after the 2008 post- election violence by mediating between competing factions"
SUCCESSES IN 2012:Following earlier natural gas deposit discoveries, Tanzania discovered some eight trillion cubic feet of offshore gas fields in songo songo, Mnaz Bay, Mkuranga Kisiwani North and Ntorya areas, fueling hopes that Tanzania could become a giant gas producer.
in 2012, Tanzania migrated from analog to digital TV broadcasting in line with the December 31, 2012 deadline it had set. The city of Dar es Salaam was the first to go digital with the rest of the country expected to follow.
FAILURESresident Kikwete's approval rating is said to have dropped by 19 points in the last 4 years, according to a survey conducted by Policy Research for Development, due to increasing reports of high corruption in his government. According to a Transparency International survey, Tanzanian transport authorities took the highest amount in bribes with the East African Bloc with the figures at $12,640 greatly hampering movement of goods and inter region trade.
The Tanzanian public was horrified by the continuing decline in education, with over 60 per cent of students sitting for secondary school final examinations failing.
MOMENT OF THE YEAR: 2012 was punctured by a boarder dispute with southern neighbour Malawi over Lake Malawi. The Dispute first came up in the 1960s but resurfaced last year when Malawi gave a British firm, Surestream, exploration rights for oil in the lake"
Mwishoni wamempa grade C. Mimi nimeamua kufanya standardization na kukuta scores zake halisi ni Grade E, na hiyo ni kwa kuangalia maeneo ambayo the EastAfrican wameyagusia.
Kwanza, kuhusu Uanajeshi wake, naomba confirmation kama ni kweli Jakaya alikuwa 'INTELLIGENCY CHIEF". Pili katika swala la Development Dollars ambazo zimetajwa kwenye evaluation hii kwamba ziliwekezwa kwenye education nataka confirmation ya hili pia, sababu natambua kwamba sisi ndio vinara wa kupewa misaada, sasa kama misaada hiyo imeelekezwa kwenye elimu naomba kupata taarifa zaidi juu ya hili, Nachokijua mimi ni kwamba, kama ni swala la shule za msingi, shule zilizojengwa kipindi cha utawala wake ni hizi za kata ambazo zilijengwa kwa nguvu za wananchi na ndio maana ndio shule ambazo ni poorly invested, hazina walimu, nyingi hazijakamilika majengo, hakuna madawati, hakuna vitabu n.k sasa hizo development dollars zilikwenda wapi. Kuhusu Vyuo Vikuu, chuo kikuu pekee nachokitambua kama kimekuwa properly invested kwa maana ya physical infrastrure katika zama zake ni UDOM, na UDOM ni NSSF university, where did the development dollars go.
Wanasema, success yake ni kwenye upatikaji wa gas, what in puts has our government put in the exploration of oil and gas zaidi ya kuweka sign kama vipofu kwenye mikataba kitu ambacho hata standard seven failure anaweza, nani hawezi kuweka sign tu? hii inakuwa attributed kama success factor yake kivipi? ilikuwamo hata kwenye irani yake ya uchaguzi, zote 2005 na 2010? Nani anayejua kama serikali yetu ina any material owenership intersts za hizo investment? Huu ni ushahidi kwamba Hakuna kitu alichoachieve, hii ni wrong selection of factors za kumpambia, Zaidi ni Kwamba He has very poorly managed the whole oil and gas investment kiasi cha kusababisha adha kubwa kwa Taifa.
Failure, wameselect a long timer weakness, Corruption, right, the best friend of corrupted businesmen, politicians local, foreigners, and corruption itself? This is not news though, His number one failure is on Governance. Everything under his supervision is falling down like a bunch of cards.security-F, Education and People Development F+,Agriculture E, Balance of Payment K,Political and Civil Society Stability G.
Grade E, This is where He is now.