Tumsifumwambasi
New Member
- Dec 9, 2018
- 4
- 0
habar zenu wana JF kwa wale wadau wa linguistic/English msaada kuhusu hili swali linataka nini
Boss seriously hilo swali hulielewi au.....!?, sijasoma lingu' but swali halijanipiga chenga.habar zenu wana JF kwa wale wadau wa linguistic/English msaada kuhusu hili swali linataka nini
Seriously ndio mana nmeomba mxaada mkuu lakin sio mbaya nkipata uzoefu wakoBoss seriously hilo swali hulielewi au.....!?, sijasoma lingu' but swali halijanipiga chenga.
Dadavua hiyo holmes marker na ni kwa mapana yapi ina-affect/athiri asiri ya taaluma ya ufasiri.Seriously ndio mana nmeomba mxaada mkuu lakin sio mbaya nkipata uzoefu wako
ShukranDadavua hiyo holmes marker na ni kwa mapana yapi ina-affect/athiri asiri ya taaluma ya ufasiri.