Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,477
Hakujawahi kuwapo Eva, Adam, Mungu wala shetani.m kwa muktadha wa maandiko.WARNING: This thread is highly Critical:
1. Eva aliongea na Shetani ana kwa ana, akatuletea tu Tunda...tukaonekana tumemsaliti Mungu wetu, Je, ni nani Msaliti halisi?
2. Ni wapi nitapata maongezi ya Eva na Shetani ambayo hayajaandikwa kwenye Biblia? Ikumbukwe maongezi yao tulioyonayo sasahivi ni Mrejesho wa mazungumuzo yao na sio Transcript. Kama watu wanaweza kujua Binadamu wa kwanza aliishi Tanzania, kupata maongezi haya sio ishu.
3. Dini, Siasa na Fedha: nani muhusika mkuu wa haya matabaka?
Habari hizo ni hadithi za watu zisizo na uhalisi tu
Sent using Jamii Forums mobile app