Eva aliongea mengi na Shetani, sisi tukaambulia tu kulishwa tunda

WARNING: This thread is highly Critical:

1. Eva aliongea na Shetani ana kwa ana, akatuletea tu Tunda...tukaonekana tumemsaliti Mungu wetu, Je, ni nani Msaliti halisi?

2. Ni wapi nitapata maongezi ya Eva na Shetani ambayo hayajaandikwa kwenye Biblia? Ikumbukwe maongezi yao tulioyonayo sasahivi ni Mrejesho wa mazungumuzo yao na sio Transcript. Kama watu wanaweza kujua Binadamu wa kwanza aliishi Tanzania, kupata maongezi haya sio ishu.

3. Dini, Siasa na Fedha: nani muhusika mkuu wa haya matabaka?
Hakujawahi kuwapo Eva, Adam, Mungu wala shetani.m kwa muktadha wa maandiko.

Habari hizo ni hadithi za watu zisizo na uhalisi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kheri Hansen "" anasema kuwa Eva alikuwa mjanja"" kuliko adamu "" alianza kuliwa papuchi na joka "" kisha ndio akaenda kumpa chiu na adamu" so anasema yawezekana"" hata mtoto wakwanza wa adamu hakuwa wake "" maana kumbuka kuwa huko hapakuwa na condom so game la Eva na joka itakuwa lilipigwa nyama kwa Nyama tu "" na adamu nae akapewa nyama kwa Nyama tu "" anahoji zaidi kwa kusema kuwa nani Mwenye Uhakika kuwa "" tunda aliloambiwa Eva alile lilikuwa ni tunda "tunda la mtini " kama watu wanavyodhani"" kama lilikuwa ni tunda kweli lamtini" kilichofnya mpaka shetani amuite chemba kwanza eva nakumshawishi alile hilo tunda ninini ?? na kwanini hilo tunda aanze kula eva kisha ampelekee tunda lingine adamu "" ambaye alikuwa hayupo kipindi eva anakula lile tunda lake wakati alipokuwa na shetani"" kwanini shetani asinge waita wote na kuwashawishi walile pamoja mbele yke .....
so kwa mantiki hiyo twaweza kuona kuwa hilo tunda lilikuwa ni kwichi kwichi tu na lilikuwa proudly sponcer na shetani ""

hahaa"" dunia ina visa
proudly Sponsored na Shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Ila ukiconect dot kati ya Shetan na ushawishi wake kwa Eva kimazingira na mtoto Abel na jina la kizazi cha nyoka kuna jambo fikilishi ndani yake absolutely.
Shetani atakua alimchakata EVA.

Hilo tunda mpaka leo halijawahi julikana na huo mti haujawahi kufahamika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swali ni gumu sana, ila lina majibu mepesi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu cha muhimu kabisa kuelewa ni kwamba, hizi habari zote ni hadithi za Wayahudi.

1. Hakuna Mungu.

2. Adam si mtu wa kwanza.

3. Biblia ni hadithi za kiutamaduni za Wayahudi, hadithi ambazo zimehaririwa na kubadilishwa kwa mara mia na elfu, ili kukidhi mahitaji ya jamii.

Ukitaka kujua zaidi tafuta kitabu cha James L Krugel, msomi wa Biblia aliyefundisha masomo ya Biblia mpaka Harvard.

Kitabu kinaitwa "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then And Now".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kheri Hansen "" anasema kuwa Eva alikuwa mjanja"" kuliko adamu "" alianza kuliwa papuchi na joka "" kisha ndio akaenda kumpa chiu na adamu" so anasema yawezekana"" hata mtoto wakwanza wa adamu hakuwa wake "" maana kumbuka kuwa huko hapakuwa na condom so game la Eva na joka itakuwa lilipigwa nyama kwa Nyama tu "" na adamu nae akapewa nyama kwa Nyama tu "" anahoji zaidi kwa kusema kuwa nani Mwenye Uhakika kuwa "" tunda aliloambiwa Eva alile lilikuwa ni tunda "tunda la mtini " kama watu wanavyodhani"" kama lilikuwa ni tunda kweli lamtini" kilichofnya mpaka shetani amuite chemba kwanza eva nakumshawishi alile hilo tunda ninini ?? na kwanini hilo tunda aanze kula eva kisha ampelekee tunda lingine adamu "" ambaye alikuwa hayupo kipindi eva anakula lile tunda lake wakati alipokuwa na shetani"" kwanini shetani asinge waita wote na kuwashawishi walile pamoja mbele yke .....
so kwa mantiki hiyo twaweza kuona kuwa hilo tunda lilikuwa ni kwichi kwichi tu na lilikuwa proudly sponcer na shetani ""

hahaa"" dunia ina visa

kwamba baba yetu adamu alichapiwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Noted sir, thank you

Back
Top Bottom