European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

48429512_2572396982777752_5419531021336969216_n[1].jpg
 
Hujaona wale mashemale,kila kitu cha kike kasoro wana uume Kama wanaume wengine,mie baada ya kuuona huu uumbaji nikakubali tunazaliwa tofauti,wengine ni kweli wamezaliwa hivyo...,,anyway hata kama ni Choice ya Mtu kwa nini tunapenda kuingilia choice za watu?
wapo na wenye muonekano wa kiume na wana kei hao ni sawa lakini hakuna haki ya kubadili matumizi ya viunge nakud ni haki kisheria yaani uache kutumia miguu utembee kwa sarakasi ya mikono udai una haki yakutengenezewa njia yako kwasabu hautaki kutumia miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom