Mkuu unaonekana una uelewa mkubwa kuhusu statement ya mahakama hiyo.Thats true,watu wamehamisha goli. Kilichosemwa na hiyo mahakama ni kuwa wametupilia mbali madai ya kutaka ndoa za jinsia moja kutambulika kama human right ila wachangiaji wengi wanaona kama ushoga umepingwa na hii mahakama kitu ambacho si kweli.
UNATAKA NIWAZE NINI?Kwanini unawza kulakula tu?
HAO "WAAFRIKA WENGI" ULIWAHESABU LINI?Nimegundua kiongozi yeyote aliye maarufu akionesha kutetea ushoga haraka sana huporomoka kisiasa.Mchungaji Desmond Tutu ni mfano huo.Hiyo kitu Waafrika wengi hatuikubali ,ni mila potofu kwetu.
Mkuu unaonekana una uelewa mkubwa kuhusu statement ya mahakama hiyo.
Tafadhali tusaidie kudadavua implication Ya statement hiyo kwa lugha rahisi.
Mkuu sina uelewa sana zaidi ya kilichoandikwa hapo na nnachokijua ni kwamba kulikuwa na kesi kwny hiyo mahakama tajwa iliyokuwa ikiiomba mahakama hiyo(moja ya mahakama za juu kabisa za haki za binadamu) watambue na kuidhinisha ndoa za jinsia moja kuwa ni haki ya binadamu kama zilivo haki zingine za binadamu. Sasa kilichotokea ni kuwa Majaji wote 97 wa mahakama hiyo wamekubaliana,kwa kuzingatia tafsiri na makusudi ya ndoa kisheria,ndoa ya jinsia moja haikidhi maudhui hayo na hivyo kutupilia mbali hoja hiyo ya haki ya ndoa za jinsia moja. Kwa upande mwingine kama hoja hiyo ingeshinda,ndoa hizo zingetambuliwa km haki ya binadamu na hivyo muhimili wa sheria ungezitambua km ndoa halali.
Ubarikiwe
ACHANA NA MABIBLIA WEWE.Bibilia ilishamaliza Kila kitu kuhusu ushoga Na usagaji. Angalo Warumi:1.18
Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.
Warumi:1.19
Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.
Warumi:1.21
kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
Warumi:1.22
Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
Warumi:1.23
wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.
Warumi:1.24
Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
Warumi:1.25
Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
Warumi:1.26
Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
Warumi:1.27
wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
Warumi:1.28
Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa
HII KESI NI YA MUDA SANA NA HUKUMU YAKE ILISHATENGULIWA NA MAHAKAMA YA JUU YA ECJ.Mkuu sina uelewa sana zaidi ya kilichoandikwa hapo na nnachokijua ni kwamba kulikuwa na kesi kwny hiyo mahakama tajwa iliyokuwa ikiiomba mahakama hiyo(moja ya mahakama za juu kabisa za haki za binadamu) watambue na kuidhinisha ndoa za jinsia moja kuwa ni haki ya binadamu kama zilivo haki zingine za binadamu. Sasa kilichotokea ni kuwa Majaji wote 97 wa mahakama hiyo wamekubaliana,kwa kuzingatia tafsiri na makusudi ya ndoa kisheria,ndoa ya jinsia moja haikidhi maudhui hayo na hivyo kutupilia mbali hoja hiyo ya haki ya ndoa za jinsia moja. Kwa upande mwingine kama hoja hiyo ingeshinda,ndoa hizo zingetambuliwa km haki ya binadamu na hivyo muhimili wa sheria ungezitambua km ndoa halali.
Na Wewe achana Na huo unaouita utalaamu, ambao basically ni mitazamo iliyopandikizwa Na hao wanao shadidia ushoga. Laiti ungejua tafiti zina favour mfadhili yamkini ungetambua kuwa hata huo utaalam wako ni vapour/ ni ubatili mtupu. Wewe ndo una facts batili Kabisa tena POTOFU kuu. Yamkini we shoga pia maana unakuwa mkali kama baba na mama wa ushoga wanavyo kuwa wakali ushoga ukipingwa. soma vitabu Mbali mbali ndugu upate ufahamu.ACHANA NA MABIBLIA WEWE.
TUNAJADILI VITU VYA KITAALUMA WEWE UNALETA HADITHI POTOFU!
Baada ya ku'quote mistari yote hiyo ya biblia then una uwezo wa kumwambia mtu mwingine aache mawazo ya kupandikizwa!!?Na Wewe achana Na huo unaouita utalaamu, ambao basically ni mitazamo iliyopandikizwa Na hao wanao shadidia ushoga. Laiti ungejua tafiti zina favour mfadhili yamkini ungetambua kuwa hata huo utaalam wako ni vapour/ ni ubatili mtupu. Wewe ndo una facts batili Kabisa tena POTOFU kuu. Yamkini we shoga pia maana unakuwa mkali kama baba na mama wa ushoga wanavyo kuwa wakali ushoga ukipingwa. soma vitabu Mbali mbali ndugu upate ufahamu.
Kachanganyikiwa huyo. Muache kichaa kipoe.Baada ya ku'quote mistari yote hiyo ya biblia then una uwezo wa kumwambia mtu mwingine aache mawazo ya kupandikizwa!!?
Mawazo ni POTOFU kwasababu yanapishana na kile ulichoaminishwa katika maisha yako yote au ni POTOFU coz una evidence kuwa ni potofu,!!?
Ushauri wa kusoma vitabu vingine zaidi ya biblia ni mzuri,kuna umuhimu na wewe ufuate
Ahaaaa saf xaaanaKachanganyikiwa huyo. Muache kichaa kipoe.
Mkuu nawe ni mmoja wao nini? Ulaya Wapigania haki za hilo Swala wanajiwekaga wazi kabisa.Akina Elton John na wengineo.HII KESI NI YA MUDA SANA NA HUKUMU YAKE ILISHATENGULIWA NA MAHAKAMA YA JUU YA ECJ.
NDIO MAANA NDOA ZA JINSIA MOJA NI RUKSA HUKO MPAKA LEO HII.
Kachanganyikiwa huyo. Muache kichaa kipoe.
hakuna mtu shoga by nature.kuna watu ni mashoga by Nature. ukisema sio human rights basi nao sio human
So magonjwa ya kurithi yanatokea wapi kama huyo Mungu wako haumbi kwa makosa!!?
Wanaume na wanawake wasioweza kuzaa wanatokea wapi kama huyo Mungu wako hafanyi makosa!??
Unajua kuna wanawake wanazaliwa bila uzazi,wanaume wanazaliwa bila uwezo wa kutengeneza shahawa!!?Mungu wako kafanya hayo yote!!?
Kama Mungu wako anaweza kufanya hayo yote,unafikiri hawezi kutengeneza shoga au msagaji pia
Ulimpima ukajua sio shoga " by nature" ?hakuna mtu shoga by nature.