European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

Mbona hii issue imeanzia kwao hukohuko kwao huku kwetu kuna wasennge wa kuiga kila tabia ya magharibi yaani sijui wapoje wabongo mi nakataaa sio wote ambao wamekua bynature kwanin zamani hao watu kwetu hawakuwepo halafu sahizi ndo wapo.Ila kiukweli kwenye postive development lazima na negative development lazima yapo hata hivyo sio ugonjwa wa kuua tuwachie na maisha yao.
zamani ipi hawakuwepo? kuna ushahidi wowote wa hilo ulisemalo. Naamini ulikuwepo ingawa si kwa kiasi kikubwa. Ni kwamba ilikuwa inafanywa kwa kificho.
 
Indeed it's biology.
Its either a man born with some female traits and vice versa is true for a famale. But that does not automatically turn a person into a gay. Homosexuality is a sexual orientation, some form of a perverted fetish ritual.

Ukizaliwa without complex genetic makeup then automatically wewe ni straight? Do you choose to be straight? if you do,why don’t you want to see other people choose what they want to be?
 
wanadamu hasa waafrika ni wabinafsi. wanapenda kupinga kitu bila sababu ya msingi wamekazania maadili. kuna mashoga wanatabia nzuri kuliko wanaojifanya straight.
Mtu anapinga ushoga lakini anamuingilia mke/mpenzi wake kinyume cha maumbile. Nini tofauti?
 
Hakuna ushoga by nature.
Kama tunakubali kuwa mwanadamu anaweza kuzaliwa mlemavu wa kitu chochote kile kwanini tukatae kuwa hawezi kuzaliwa shoga. Ushoga ni ulemavu kama ulemavu mwingine ingawa sio wote wanazaliwa walemavu, wengine ni sababu zimepelekea kuwa hivyo.
 
Ni kweli mkuu,wengi ni wabinafsi wanataka waishi wanavyotaka na wengine wasiishi wanavyotaka,anyway tushee experiences zetu ili wengine wafunguke waende mbinguni 😂😂
 
Hujaona wale mashemale,kila kitu cha kike kasoro wana uume Kama wanaume wengine,mie baada ya kuuona huu uumbaji nikakubali tunazaliwa tofauti,wengine ni kweli wamezaliwa hivyo...,,anyway hata kama ni Choice ya Mtu kwa nini tunapenda kuingilia choice za watu?
Hapo ume ongea issue tofauti, mtu kuzaliwa she male, ni abnomality kama mtu kuzaliwa bila sikio, au vidole sita mkononi. Kwa she male hii abnormality na anamaumbile yote uke na uume, na anaweza kutumia organ zote atakavyo ni maumbile ya kawaida. Tofauti na normal men aamue kufanya mapenzi tena kinyume na maumbile, huyu hayuko sawa na she-male, she male anaweza kutumia uke kuwa mwanamke na wakati huo akatumia uume kuwa mwanaume. Gay hana uke, hii ndiyo tofauti yake na she male. Hivyo bado na kataa ugay siyo inborn.
Bibi zetu na babu walichana masikio, wengine walichonga meno, haya waliyafanya ukubwani kama sehemu ya rika, mila na tamaduni zao. Hiyo hatuwezi kuwaonea huruma, au kuwa nyanyapaa kwa namna yoyote. Ilikuwa nifahari kwao kwa wakati wao, hata ukiwacheka hawajutii na hayo ni maamuzi yao.
Leo gay eti wanataka ionekane kama abnormality sijui waonewe huruma, hapana. Wafurahie wanapofurahi na wakubali wanapo nyanyapaliwa kwa maamuzi yao, wasitake iwe ni norm yetu au ya jamii fulani. Hao mi nawaona kama mvutaji wa sigara, au mnywaji wa pombe, ni uamuzi wao kufanya wafanyayo.
 
Hujanielewa,nilimaanisha Kama kuna wanawake wanazaliwa na uume then hii inaonyesha kwenye kuzaliwa tuko TOFAUTI!!.. which means sio kila anaezaliwa anazaliwa straight!
 
Kama tunakubali kuwa mwanadamu anaweza kuzaliwa mlemavu wa kitu chochote kile kwanini tukatae kuwa hawezi kuzaliwa shoga. Ushoga ni ulemavu kama ulemavu mwingine ingawa sio wote wanazaliwa walemavu, wengine ni sababu zimepelekea kuwa hivyo.
Acha kudanganya watu

-hakuna mtu anayezaliwa shoga

-ushoga si kilema na haiwezi kua

-ushoga hua unakuja kutokana na mazingira na kujiendekeza

-tazama mikoa yenye mashoga wengi nchi hii, utakuta ina wageni wengi pia(zanzibar, dar, moshi etc)

-watu wanaiga au tamaa inawaponza.
 
Ukizaliwa without complex genetic makeup then automatically wewe ni straight? Do you choose to be straight? if you do,why don’t you want to see other people choose what they want to be?
Yes biology demands that you become straight, first hand. But again biology alone is not decisive, sexuality on the other hand is also a psychological phenomenon.
 
Psychological phenomena to be straight or gay...good morning Malcom👍👋
 
Acha kudanganya watu

-hakuna mtu anayezaliwa shoga

-ushoga si kilema na haiwezi kua

-ushoga hua unakuja kutokana na mazingira na kujiendekeza

-tazama mikoa yenye mashoga wengi nchi hii, utakuta ina wageni wengi pia(zanzibar, dar, moshi etc)

-watu wanaiga au tamaa inawaponza.
Moshi ina wageni wengi kutoka wapi?
 
Back
Top Bottom