European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

Nadhani makonda angekamaa mashoga kimya kimya wapelekwe kambi za jeshi wapige zoezi miaka miwili ya jkt bongo akuna shoga ni kujilegeza tu kwa vijana na kuiga umeona mmarekan ana lambwa nyuma na vidole na we unaiga matokeo unabadili mchezo nakwambia hao waende kambini akirudi mtu bado shoga basi huyo cjui imekuaje mana hata mwanamke akifanya sana mazoezi anakua dume kwa muda
Sidhani kama itasaidia since kuna nchi kibao duniani zinaruhusu mashoga kuingia jeshini na wanapitia mafunzo yote ya kuwa wanajeshi kamili kama wanajeshi ambao ni straight people wanavyofanya.

So kuwaweka jeshini haisaidii,btw hata tukichukua watu kumi ambao ni straight na walikuwa na mademu uraiani,ukiwafungua jeshini na kuwapa mateso kila siku,ukitaka wabadilike wawe mashoga,nina uhakika baadhi yao watakuwa mashoga....

Jela pia,watu kibao wanaingia sio mashoga lakini wakikaa muda mrefu wanaanza kamchezo...

Inaonyesha tu sexuality ya binadamu inaweza kuwa influenced by nature or nurture.
 
Hujaona wale mashemale,kila kitu cha kike kasoro wana uume Kama wanaume wengine,mie baada ya kuuona huu uumbaji nikakubali tunazaliwa tofauti,wengine ni kweli wamezaliwa hivyo...,,anyway hata kama ni Choice ya Mtu kwa nini tunapenda kuingilia choice za watu?
sifikiri choice zao zinaingiliwa ila wao ndo wanataka attention kwenye jamii ili iwatambue ; na huo ndo ujinga tusiutaka . Imagine watu wote wawe mashoga, ..jamii itakuwaje? Waeenda mbali mpaka eti wanataka waasili (adopt) watoto na kuwa na familia….can you imagine ni familia gani inatengenezwa hapo? Yaani hata haiingii akilini….
 
MAHAKAMA ULAYA: NDOA ZA MASHOGA SI HAKI ZA BINADAMU

Na Mwandishi Maalum,
STRASBOURGH

Kwa kauli moja, Mahakama ya Haki za Binadamu Duniani imefanya maamuzi ya kisheria kwamba, "ndoa za jinsia moja au za mashoga si haki za binadamu." Hukumu hiyo imetolewa na jopo la majaji 47 wa nchi 47 za Baraza la Haki za Binadamu la Jumuiya ya Ulaya, ambazo ni wanachama wa Mahakama ya Strasbourg.

Mahakama ya Strasbourg ni Mahakama Maalum Duniani katika Masuala ya Haki za Binadamu Wa Kiafrika Katika uamuzi wao, majaji walieleza kuwa “hakuna haki za binadamu katika ndoa za jinsia Katika historia ya uamuzi huo ambalo bado umefichwa, Mahakama iliamua kwamba dhana ya familia si tu inaendana na "dhana ya jadi ya ndoa, yaani, muungano wa mwanaume na mwanamke", lakini pia kwamba haipaswi kuelekezwa ama kulazimishwa Serikali zikubaliane na masuala ya kufunga ndoa za mashoga.”

Kuhusu Kanuni ya kubaguliwa, Mahakama pia iliongeza kuwa hakuna ubaguzi kwa kuwa nchi zinazozuia uhusiano wa jinsia moja ni huru.
“Hukumu ya Mahakama Maalum ya haki za binadamu ya Strasbourg - Ufaransa”
moja/mashoga.”Kauli hiyo ni ya muhimu barani Ulaoya, eneo ambalo lina ushawishi katika masuala ya ndoa za jinsmia moja na limekuwa kimya kuzungumzia uamuzi huo wa Mahakpama baada ya kutolewa.

Kimsingi, hukumu hiyo ilizingatia taarifa za kisayansi na bila shaka, taratibu za kifalsafa na kianthropolojia katika utaratibu wa kawaida, akili ya kawaida,
sheria za kimataifa ndipo hukumu ikatolewa. Hukumu hiyo ilizingatia Ibara ya 12 ya Mkataba wa Binadamu Duniani Haki za yenye matamko yenye muktadha sawa na Ibara mbalimbali za Mikataba ya Kimataifa wa Haki zae Kiraia na ibara namba 23 ya Mkataba wa Haki za Binadamu kama ibara ya 17 ya Mkataba wa San Jose na Kisiasa, 1966.



View attachment 948725
BULLSHIT.

KUMBE HABARI YENYEWE NI YA KARNE MBILI ZILIZOPITA.

POLE SANA KIJANA. UNAHANGAIKA MNO KUENEZA PROPAGANDA UCHWARA.
 
MKUU...HAWA VICHAA WAMEOKOTA HABARI ZA KARNE SABA ZILIZOPITA WAKAZIPACHIKA HUMU ILI WAENEZE PROPAGANDA.

HAWAFAHAMU KAMA MAAMUZI YA MAHAKAMA YANAWEZA KUTENGULIWA NA MAHAKAMA YA JUU YAKE, KITU AMBACHO KIMEFANYIKA KWENYE HII KESI YAO MFU WALIYOILETA HAPA.

THIS IS A DEAD JUDGEMENT. IT DOESN'T BIND ANYTHING.

AS USUAL, MANYUMBU YOTE YAMECHARUKA KWA FURAHA KUMBE YANAZAMA KWENYE MDOMO WA MAMBA.
Hii thread ni mfano halisi wa namna Kiingereza kinavyotupiga chenga Watanzania. Eti Breaking News my foot! Kama kawaida areafiftyone kajua kuwateka. Halafu hiyo link iliyowekwa inaonekana hiyo habari ni ya 2017 (mwaka jana) na hiyo blog ya Mbongo imetoa hiyo habari bila kuweka wapi ilizitoa. Hizi habari zilikuwa Breaking News mwaka 2014 (miaka minne iliyopita) na ilihusu rufani ya kesi iliyofunguliwa mwaka 2004 nchini Ufaransa., bonyezeni hapa...


Hata hivyo ukitaka kujua msimamo wa nchi za Ulaya kwa sasa (mwaka 2018) kuhusu kinachoitwa gay marriages unaweza kusoma hapa chini...

Au unaweza kupitia hukumu hii iliyotolewa nchini Uingereza mwaka 2015...




 
sifikiri choice zao zinaingiliwa ila wao ndo wanataka attention kwenye jamii ili iwatambue ; na huo ndo ujinga tusiutaka . Imagine watu wote wawe mashoga, ..jamii itakuwaje? Waeenda mbali mpaka eti wanataka waasili (adopt) watoto na kuwa na familia….can you imagine ni familia gani inatengenezwa hapo? Yaani hata haiingii akilini….
UMEWAHI KUONA WAPI WATU WOTE WAKAWA MASHOGA?
 
BULLSHIT.

KUMBE HABARI YENYEWE NI YA KARNE MBILI ZILIZOPITA.

POLE SANA KIJANA. UNAHANGAIKA MNO KUENEZA PROPAGANDA UCHWARA.
Wanaopiga propaganda ni wewe,The Daily Telegraph na The Gurdian.Msimamo wa The International Court of Human Rights upo pale pale hata kama ni wa 2014,mashoga hawana haki zozote kama mashoga.
 
The essential qualities or characteristics by which something is recognized.
It's a nature of fire to burn
It's nature for a man to f.uc.k a woman
Nature has seen to that men are stronger than women
The law of nature.

Chochote kile kinachofanya tabia tofauti na zake ni kasoro ya uasili wake na kasoro hiyo haipo katika uasili bali imeharibiwa aidha na mazingira ya bahati mbaya ama makusudi.
ANDIKA KISWAHILI TU MANGI. HATA SIKUELEWI.
 
sasa ukipiga kelele ndo wataacha? kinyeo cha mwingine mnakipigia kelele hivyo hamjishangai? mmekosa vitu vya kudiscuss
Haahhaaa. Hii nayo shida aisee.

Kinyeo cha mwingine lakini unakuta linyumbu linapiga makelele huku.
 
Hizi ni juhudi za makonda!
Judgment of the Human Rights Court of Strasbourg,France.

Unanimously, the World Court of Human Rights has established, verbatim, that "there is no right to homosexual marriage." The 47 judges of the 47 countries of the Council of Europe, which are members of the full Court of Strasbourg (the world's most important human rights court), issued a statement of great relevance that has been surprisingly silenced by information progressivism and its area of influence.

In fact, unanimously, the 47 judges approved the ruling that "there is no right to homosexual marriage." The sentence was based on a myriad of philosophical and anthropological considerations based on natural order, common sense, scientific reports and, of course, positive law.

Within the latter, in particular, the judgment was based on Article 12 of the European Convention on Human Rights. This is equivalent to the articles of human rights treaties, as in the case of 17 of the Pact of San José and nº 23 of the International Covenant on Civil and Political Rights.

In this historic but not disclosed, Resolution, the Court decided that the concept of family not only contemplates "the traditional concept of marriage, that is, the union of a man and a woman", but also that they should not be imposed on governments to "obligation to open marriage to persons of the same sex".

As for the principle of non-discrimination, the Court also added that there is no discrimination, since "States are free to reserve marriage only to heterosexual couples."

It is important and absolutely necessary to spread this kind of news because governments and sympathizers of such lobbies will not want people to know. Help spread if you want! Obviously, it does not interest the media to publicize this news.

You can also read this information in the following link.

Breaking News: 47 Judges of World Human Right Court Declare No Rights to Homosexual
 
Back
Top Bottom