***Euro2008***

Hollo

JF-Expert Member
Apr 21, 2008
827
165
There is one sure thing: Euro 2008 in Austria and Switzerland starts with the opening fixture, the first game taking place on 7 June 2008 at Basle's St Jakob Park.

Another sure thing is that with some of the world's best players taking part, there will be an exciting tournament.

But the burning question for all football fans is will my team qualify for the next round of the tournament?
European Championship - Group A:
Portugal,Czech Rep,Turkey and Switzerland.
Group B:
Germany,Poland,Croatia and Austria
Group C:also known us kundi la kifo!
Holland,France ,Italy and Romania
Group D:
Greece,Russia,Sweden and Spain
Je Greece watafanikiwa kulitetea kombe?
je mshindi atatoka kwenye kundi la kifo?i mean France,Italy,Holland and Romania.
 
hollo
sisi mabingwa wa kombe la dunia ndio tuna tuna nafasi nzuri sana ya kulibeba hili la euro,naona kwa sasa France wamechoka tu na hao wengine ndio wale wale,mwaka wetu huu
 
hollo
sisi mabingwa wa kombe la dunia ndio tuna tuna nafasi nzuri sana ya kulibeba hili la euro,naona kwa sasa France wamechoka tu na hao wengine ndio wale wale,mwaka wetu huu

Mr Kiroboto wewe acha kabisa les bleus si mchezo nyinyi Italy ni wateja wetu kabisa;unakumbuka mechi za kutafuta "kukwalify"?Mlikuja France tukawapiga 3,katika marudiano ikawa sare!sasa jana tumechezesha i can call them team B katika mechi ya kirafiki na Ecuador,tukawapiga 2 kwa yai!
the bleus ni the best team in Europe!
ALLEZ LES BLEUS!
 
Wajue wachezaji wanaounda kikosi cha "The bleus"Ambao wanatarajiwa kuondoka na kombe la Euro 2008;Walinda mlango : Grégory Coupet (Lyon), Sébastien Frey (Fiorentina), Steve Mandanda (Marseille)
Walinzi : Eric Abidal (FC Barcelone), Jean-Alain Boumsong (Lyon), François Clerc (Lyon), Patrice Evra (Manchester United), William Gallas (Arsenal), Willy Sagnol (Bayern Munich), Lilian Thuram (FC Barcelone), Sébastien Squillaci (Lyon)

Viungo : Lassana Diarra (Portsmouth), Claude Makelele (Chelsea), Jérémy Toulalan (Lyon), Patrick Vieira (Inter Milan), Franck Ribéry (Bayern Munich), Samir Nasri (Marseille), Sidney Govou (Lyon), Florent Malouda (Chelsea)

Washambuliaji: Nicolas Anelka (Chelsea), Karim Benzema (Lyon), Bafétimbi Gomis (Saint-Etienne), Thierry Henry (FC Barcelone).
Kila la kheri "The Bleus"
 
Mashindano yatakuwa tight sana hasa kundi la kifo but bingwa ni kati ya
GERMANY,SPAIN,ITALY & FRANCE
Hao jamaa wa kundi la kifo wasipoangalia huenda mmoja akatolewa maana HOLAND &ROMANIA balaa tupu
 
Pia kuna striker wa kuangalia hasa LUCA TONI,TORES,VILA,KLOSE
 
Belo
unajua utuuzima dawa,sie hatuna maneno mengi ila utaona dose zetu

halafu Belo lile jina la close pale ungeondoa,jamaa sasa kachoka tu,coz mechi nyingi anayepachika mabao ni yule ribery wenu
 
Belo
unajua utuuzima dawa,sie hatuna maneno mengi ila utaona dose zetu

halafu Belo lile jina la close pale ungeondoa,jamaa sasa kachoka tu,coz mechi nyingi anayepachika mabao ni yule ribery wenu

Kweli jamaa tangu aje LUCA TONI kamfunika
But kwenye timu ya taifa ndo STRIKER wakutegemewa
 
Kiroboto hata mimi naona AZZURI wanatisha hebu cheki kikosi
1.Buffon
2.Zambrotta
3.Chielini
4.Materazi
5.Canavaro
6.Gatuso
7.Camoranesi
8.Pirlo
9.Borielo
10.Toni
11.De Rosi

SUB;Amelia,Groso,Barzagli,Perota,Aquilani,Cassano& Del Piero-SUPER SUB
 
belo
ndio maana nikamwambia mama kuwa angeanza the The Blues nikiwa maana katika ile nafasi ambayo ametugea sisi AZZURI basi angewapa The Blues,halafu hawa wajeruman huu mwaka sio wao kabisa,yaani mapema watapumzika,kuhusu wahispaniola mie sisemi ila nawahofia

kana ka nsungu tupo pamoja na AZZURI wetu?
 
wa austria ndio wataondolewa mapema labda watumie faida ya uenyeji ambayo pia sidhani kama wataingia robo fainali.
 
Germany for EURO 2008 champion! Spain second, Italy third

Mama EURO 2008 is for france and i do not think if germany will reach even a Quarter final!kina Barack na kina close hamna kitu hao!labda spain maana at least kuna kina RAUL,Torres na Cesc!italy ndo vibonde kabisa
 
belo
ndio maana nikamwambia mama kuwa angeanza the The Blues nikiwa maana katika ile nafasi ambayo ametugea sisi AZZURI basi angewapa The Blues,halafu hawa wajeruman huu mwaka sio wao kabisa,yaani mapema watapumzika,kuhusu wahispaniola mie sisemi ila nawahofia

kana ka nsungu tupo pamoja na AZZURI wetu?

Yes kitobato tupo pamoja kweli sisi tunatisha!yaani tuna machungu sana tuliyoyapata katika kombe la dunia 2006!
 
Ila warusi nao wanatisha jamani!timu vibonde ni pamoja na wenyeji wote wawili na uturuki pia!
 
Kiroboto hata mimi naona AZZURI wanatisha hebu cheki kikosi
1.Buffon
2.Zambrotta
3.Chielini
4.Materazi
5.Canavaro
6.Gatuso
7.Camoranesi
8.Pirlo
9.Borielo
10.Toni
11.De Rosi

SUB;Amelia,Groso,Barzagli,Perota,Aquilani,Cassano& Del Piero-SUPER SUB

Gatuso nae kuzuia kwake kwake kwa mabavu tu!hapo nina wasiwasi na Luca ton huyo kweli ni the best vipo wamewatema wakongwe Fransisco Totti na INZHAGI?
 
Mama EURO 2008 is for france and i do not think if germany will reach even a Quarter final!kina Barack na kina close hamna kitu hao!labda spain maana at least kuna kina RAUL,Torres na Cesc!italy ndo vibonde kabisa

hollo,AZZURI tunatisha,muulize belo atakuambia
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom