Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Japo kwa bahati mbaya sana Ronaldo hajawahi kutamba dhidi ya Ufaransa na Ujerumani lakini nadhani Portugal itabeba ndoo tena
Atakuwa amevunja rekodi kushinda baina ya Timu hizo, maana tangu aanze kucheza timu ya taifa baina ya timu hizo hajawahi kushinda hata mechi moja
 
Mechi za Leo Jumamosi:

EE65B233-6139-4A0E-B55A-F5C11CC10CD5.jpeg
 
#FRA have attempted six shots against #HUN so far.

Kylian Mbappé has been responsible for four of them.

#EURO2020
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom