Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,870
- 2,176
Turkey ni timu koko sana....
Nimewacheki mkuu, hovyo sana. Wakina Hassan sas na hakan sukur wakiona wanaumia sana timu ilivyo. Kwenye makundi wanatoka
🇦🇷🇦🇷🇦🇷🇹🇿🔥🔥
Turkey ni timu koko sana....
Spain usiwape nafasi sana
Tuwafungulie uzi mkuuPia walishindwa kuonyesha World Cup
Argentina pia wapo uwanjani coppa america..Leo spain na sweden
Poland na slovakia
Argentina pia wapo uwanjani coppa america..
Argentina pia wapo uwanjani coppa america..
Kamfanya kipa afukuze mwizi pasipokuwa na matumaini yeyoteScotland 0-2 Czeck. Shrink kafunga tayari goal bora la mashindano. Katandika mkwaju akiwa nusu ya uwanja.
Scotland 0-2 Czeck. Shrink kafunga tayari goal bora la mashindano. Katandika mkwaju akiwa nusu ya uwanja.
Nini mkeka au?Wow angalau mie navuna vuna
AngukoFor the first time since 1992, no Liverpool or Man United player will start in a major tournament game for England 😳 https://t.co/mskfpp9ngH