Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,510
44,622
Salama wakuu,

Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa.

Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona. Hivyo Uefa ikaamua michuano hiyo ifanyike mwaka huu lakini iendelee na jina lilelile la Uefa Euro 2020.

Pia kutokana na Corona, timu zitaruhusiwa kuwa na wachezaji 26 badala ya 23 kama ilivyozoeleka.

Vilevile, michuano hii itaandaliwa katika nchi 11 tofauti na michuano ya kawaida ambapo nchi mwenyeji huwa ni mmoja tu. Wamefanya hivyo katika kuadhimisha miaka 60 ya michuano hiyo mikubwa barani ulaya kwa ngazi za timu za taifa.

Updates:
Michuano inaanza leo Juni 11 ambapo Turkey Vs Italy watafungua dimba saa 4:00 Usiku.

Michuano itaonyeshwa kupitia Dstv Chaneli 224 (Mechi zote), Star Times na Azam Tv kupitia ZBC2 (Baadhi ya Mechi).

Wale wadau wa kustream mtandaoni, Hesgoal.com ndio sehemu ya uhakika ya kucheki mechi.
==============================

Italy yatwaa ubingwa baada ya kuifunga England kwa mikwaju ya penati

IMG_8565.jpg

5CB317F6-5EFE-42F2-B326-2256BC49D8EB.jpeg

50D34DF1-61A5-4896-8CEA-C68667D94EC7.jpeg
 
Salama wakuu,

Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa.

Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona. Hivyo Uefa ikaamua michuano hiyo ifanyike mwaka huu lakini iendelee na jina lilelile la Uefa Euro 2020.

Pia kutokana na Corona, timu zitaruhusiwa kuwa na wachezaji 26 badala ya 23 kama ilivyozoeleka.

Vilevile, michuano hii itaandaliwa katika nchi 11 tofauti na michuano ya kawaida ambapo nchi mwenyeji huwa ni mmoja tu. Wamefanya hivyo katika kuadhimisha miaka 60 ya michuano hiyo mikubwa barani ulaya kwa ngazi za timu za taifa.

Tukirudi kwenye swali letu, Kuelekea michuano ya Uefa Euro 2020, timu gani unaipa kutwaa ubingwa huo? Karibuni...
View attachment 1791049
Bingwa atatoka kundi la kifo F
 
Ila kombe hili halina mzuka kabisa..hamna amsha amsha...
On paper, portugal wana kikosi.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom