Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Italy wanapelekewa moto
Wachezaji wetu mafundi wametoka insigne, verrati na barrela watoka na aliyebaki, chiesa kachoka kinyama.
Na sisi mbinu yetu kwenye hii game ni counter attack with accurate passes.
So hapa labda matuta tu.
Screenshot_20210707-001322.jpg
 
Back
Top Bottom