Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,296
- 7,603
Mkuu unawaza overtime sana 😀, ni Extra time.Kutawala possession kwa karibu 70% halafu unaenda overtime kunakatisha tamaa aisee.
Mkuu unawaza overtime sana 😀, ni Extra time.Kutawala possession kwa karibu 70% halafu unaenda overtime kunakatisha tamaa aisee.
amekamatika, hii game hatokiBado Nampa Italy nafasi
Kutawala possession kwa karibu 70% halafu unaenda overtime kunakatisha tamaa aisee.
Sawa, ila kumbuka Italy wakishindwa kushinda nini kitatokea Mkuu!!!Bado Nampa Italy nafasi
Spain anagongwa nyingine na arudishi atimiliki mpira tu.Daaah kweeeeliiiii
Kaka Olmo ndio msababishaji hatari, tena hafai Italy inabidi wamchunge sanaHuyu Olmo mweupe kabisa angetolewa tu
Kazi zishamuharibu huyu mzeeMkuu unawaza overtime sana , ni Extra time.
Jamaa ana kila sifa ya kuchezea ArsenalHuyu morata anakera huyu
Mkuu unawaza overtime sana , ni Extra time.
Spain kwa Uingereza ana nafasi kubwa, Ila Italy mpira huu hachomoki kwa Uingereza labda Denmark Ashinde nusu.Italy akishinda mechi hii basi anaweza akawa bingwa
Mkuu me nasimama na Italy mwanzo mwishoSawa, ila kumbuka Italy wakishindwa kushinda nini kitatokea Mkuu!!!
Ulitia Ngawira?So far so good..
Kweli aiseeKaka Olmo ndio msababishaji hatari, tena hafai Italy inabidi wamchunge sana
Zile sub alizofanya ndio zime mcostamekamatika, hii game hatoki
Natamani iwe hivo pia, nimuone jorginho na penati zake za kudunda. Pia nataka nione uwezo wa Donarumma kupangua penati. Interesting!!Hii game inaamuliwa kwa penalty shootout