KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,700
- 4,428
Wako bize full kujihamiNimeshangazwa na Spain kutawala possession kwenye hii nusu ya kwanza!
Wako bize full kujihamiNimeshangazwa na Spain kutawala possession kwenye hii nusu ya kwanza!
Ukali wa jembe huonekana shambani MkuuItaly mapema tu tunakula mtu
MkongweHuyu jamaa wa kitambo sana. Namkumbuka kama yule kipa wao za zamani Buffon. Ile poem yake ya 2016 ilinisisimua
Spain gonga gonja ni jadi yao.Nimeshangazwa na Spain kutawala possession kwenye hii nusu ya kwanza!
DonnaWhat a save from Gigi Donnarumma
Kumbuka huo ni Mpira wa Miguu Mkuu.Kesho sio mbali ngoja tusubiri
Commentary ya kina Alan shearer unaichekia wapi?Namsikiliza Alan Shearer anasema siyo kwamba wanabutua makusudi ni wamezidiwa akili ndiyo maana wanabutua.
Yoyote anafungwaHii game haitabiriki.
Buffon ana 43 yrs, bado anakipiga, kahamia Parma kwenye dirisha hili la usajiliHuyu jamaa wa kitambo sana. Namkumbuka kama yule kipa wao za zamani Buffon. Ile poem yake ya 2016 ilinisisimua
Itakuwa bbc kupitia streaming ya hesgoal.comCommentary ya kina Alan shearer unaichekia wapi?
BBC1HD nipo hapa mpaka mwezi wa nane.Commentary ya kina Alan shearer unaichekia wapi?
Halafu Parma ipi daraja la kwanza au la piliBuffon ana 43 yes, bado anakipiga, kahamia Parma kwenye dirisha hili la usajili
Spain anagongwa vizuri tu fungua kinywaji ntalipa.Tutegemee nini kipindi cha pili?
Imeshuka daraja msimu uliopita(20/21), Msimu ujao(21/22) itakuwa Serie BHalafu Parma ipi daraja la kwanza au la pili
Bado nina imani na wale wazee, ngoja nisubiri dk zilizobakiNaona supporters wa Italy hofu tupu