EURA mnaangamiza Taifa Kiuchumi, jiandae kupigika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EURA mnaangamiza Taifa Kiuchumi, jiandae kupigika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyange, Aug 3, 2011.

 1. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Tanzania kuangamia kiuchumi muda si mrefu.

  • Wana JF twambizane kwa nini kuna kitu kinaitwa EURA?
  • Kwanini kiwepo? na kisipokuwepo kuna hasara gain kwenye utandawazi wa sasa wa biashara?
  • TANESCO Bills wanachukua 1% za nini kwa kila mteja?
  • Kwenye mafuta yanayo uzwa kwenye shells wana % zao kwa nini?
  • Kwanini EURA wapo kwenye zama za biashara huria?
  • Je wajua wafanyakazi wao wanaishi kama wako peponi?(Study tour kwa kwenda mbele kila nchi wanayoifikiria)
  • Je wajua kuwa Mgt yao husafiri 1[SUP]st[/SUP] class kwenda study tour Marekani kwenda kula BATA kutoka kwa wavuja jasho wa kitanzani kwenye umeme na mafuta?
  • Je mwajua kuwa Board member akimaliza muda wake hupokea 1.5 M/= kama kiinua mgongo kwa mwaka 1 na nusu????????????
  • Je mnategemea uchumi wan chi utaimarika kwa kula fedha za watu bila aibu wala huruma?????????
  • Je tuombe hii taasisi ifutwe kuwa inaongoza kwa kuwanyonya wananchi kwa gharama sisizo za msingi?
  • Tena nasikia wauza mafuta wamegoma kuuza mafuta. Tutarajie nini???? shell zote kwa sasa zimegoma. Chadema mpo? another golden chance ya kuonesha cheche.

  Nawasilisha.

   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  Ni kugawana ulaji tu, kama wanafanya kazi mafuta ya taa yalipanda bei on the sport, mbona petrol na diesel inaning'inia kule juu kileleni tu, nchi ya kitu kidogo bana.
   
 3. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Naamini impact za upungufu wa mafuta, utatugharim esp Inflation & hardship
   
 4. g

  guta Senior Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli sisi watnzania tunaliwa sana na tunaendelea kufurahia tu, hata upandaji wa mafuta ya taa usingepashwa kupanda bei, kwa nini ewura wasiwakamte wale wanaochakachua mafuta. kwani wachakachuaji wako wangapi? na ni watu wangapi wanatumia mafuta ya taa, na ni wangapi wanatumia mafuta yaliyochakachuliwa? ja ni kwamanufaa ya wachache au wengi?!!!!!!!!!!!!!!!!!griiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!**Ti
   
 5. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  EWURA wanafiki wakubwa hawa pamoja na tozo zote wanazochua hamna kitu wanachofanya wanacolude na wauza mafuta kutupandishia bei kila leo kwa visingiao vya kijinga ambavyo havina msingi kama exchange rate, mafuta yamepanda kwenye soko na mafuta yakishuka bei kwenye soko hapunguza tofati ndogo sana kulinganisha na waliyopnadisha, dola ikipata mguvu wao kimya, bora EWURA ifutwe kabisa tujuwe tunaliwa na tozo hatutoi
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Unjua Petrol inapanda coz kuna mashirika sijui sita uhai wake yanategemea kodi inayotozwa kwenye mafuta.
  Kuna Ewura, TPDC, Sumatra, na mengine nimeyasahau haya yoote yanategemea kodi za mafuta, hebu fikiria lita moja inatozwa kodi 21, halafu tunategemea bei itashuka kweli. futa haya makampuni uchwara yooote labda TPDC lkn mengine ni mzigo kwa mlipa kodi kwa kweli.
   
Loading...