Sandiego
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 1,289
- 2,076
WE SEMA WAKIPATIWA MTAJI WATAINUNUA TENA NA KUIREJESHA KWA WANANCHI SABABU NYINYI MLISHAIUZA SIKU NYINGI NA PESA MKALA WENYEWE!!Nasiku mkipewa hii nchi lazima mtaiuza aise,

Kwani Katiba Mpya ni kwaajilii ya CHADEMA?Tanzania sio nchi huru, bali inakaliwa kimabavu na chama kiitwacho ccm bila ridhaa ya umma. Ccm imeendelea kukaa madarakani kwa shuruti kupitia chaguzi za kishenzi, kikatili na kihayawani, huku ccm ikiwa na ushirikiano wa kihalifu kati yake na vyombo vya dola, na tume ya uchaguzi. Sasa hivi wananchi hawajitokezi tena kwa wingi kupiga kura kwakuwa wanaona wazi kuwa box la kura linanajisiwa. Fuatilia uchaguzi mdogo unaoendelea hivi sasa huko Ngorongoro.
Kwa taarifa yako nchi, taifa au umoja wowote ule utakaokuja na kutupa nguvu ya kuondoa ccm madarakani, tutawapa ushirikiano wowote waoutakao kama Walibya walivyotoa ushirikiano kwa US na Ulaya, hadi kumuondoa dictator katili Gaddafi. Hatuko tayari tena kuendelea kutawaliwa na chama kisicho na ridhaa ya umma.
Huyo mama haleti diplomasia yoyote, bali anazurura huko duniani kuhadaa ulimwengu ili uchafu unaondelea hapa nchi usifahamike. Uchafu wote unaoendelea hapa nchini tunaujua sisi wananchi. Wapinzani wamejaa kwenye magereza kwa kesi za kubambikiwa, huyo Mbowe hadi leo yuko gerezani kwa maagizo ya watawala wa CCM, lengo ni kuzuia madai ya kupatikana kwa katiba mpya.
Tumemuuzia Nani?WE SEMA WAKIPATIWA MTAJI WATAINUNUA TENA NA KUIREJESHA KWA WANANCHI SABABU NYINYI MLISHAIUZA SIKU NYINGI NA PESA MKALA WENYEWE!!
MTAUZA NINI WALICHOBAKIZA!!?Bora kuuza kuliko hii hasara ya kuwa mafukara kwa miaka 60
Hata majengo ya CCMMTAUZA NINI WALICHOBAKIZA!!?
Mateso wanayoyapata watanzania mikononi mwa dola hayakuwshi kupatikana wakati wa mwingereza, huu ndio ukweli.Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu
Freeman Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kutenda kosa la Ugaidi na kesi inaendelea Mahakamani tena mfululizo hili dunia inajua
Utawala wa Sheria duniani kote ikiwemo EU unatamka kuwa "Hakuna aliyejuu ya Sheria " No one is above the law,
Je! Can't it be applied to Mr Freeman Aikaeli Mbowe?
CHADEMA mnataka kusema Freeman Mbowe kwa kuwa ni Mkt wa Chama chenu hawezi kutenda kosa?
CHADEMA na EU mnataka kusema Freeman Mbowe ni malaika wa nuru asiyeshawishika wala kutenda kosa?
Tunafahamu bifu kubwa lilokuwepo baina ya aliyekuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya
Miamba hii miwili ya kisiasa ilikuwa ikipimana nguvu pale Wilaya ya Hai kwa njia halali na zisizo halali,Hili wote tunalijua na CHADEMA mnalijua zaidi
Tukubaliane kuwa njia alizotumia Freeman Mbowe kutaka kumdhibiti Lengai Ole Sabaya ziliwafanya Mbowe na Sabaya kuvunja Sheria za nchi na wanaoweza ku-approve au ku-disapprove hili ni mahakama pekee kama chombo cha juu kabisa cha kutoa haki na wala sio Rais Samia
Kitendo Cha CHADEMA kuanza kuisiliba nchi yao kimataifa licha ya Juhudi kubwa zinazofanywa na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan katika kuirejesha nchi kidiplomasia halikubaliki na halitakubalika kamwe
Tujiulize, CHADEMA wanaogopa nini kama kweli Freeman Mbowe hana hatia Mbele ya Sheria?
Sote tunafahamu, CHADEMA ndio Chama chenye Mawakili wengi na nguli wa Sheria hapa Tanzania
Je? wamekwama wapi au nawao wamebaini ni kweli mteja wao anamakosa wanaamua kuigeuzia kesi hii Kisiasa kisa Freeman Mbowe ni mwanasiasa?
Kwanini leo wakimbilie kulichafua Taifa Kimataifa hata kabla ya hukumu yenyewe? Nini kimewasibu kwenye jicho la Sheria?
CHADEMA acheni kulichafua Taifa letu Kimataifa,mlisingizia Magufuli Leo tena Samia lazima mtambue Sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya hii
Mnatuumiza sana sisi watu wa chini
Sisi hatuna uwezo wa kuishi huko Ughaibuni Ubelgiji,Canada wala Scotland kama ninyi na familia zenu
Mnanenepa na kung'aa kuwazidi hata Wazungu kwa gharama za nchi yenu hakika hii ni mbaya sana brothers
Hiyo misaada mnayotaka tunyimwe na EU ndio inawafanya watoto wa Shangazi zenu wajengewe madarasa elfu 15 na Rais Samia Suluhu
Plze Brothers & Sisters STOP IT
WAAMBIENI "EU" TUTASIMAMIA SHERIA ZETU KWA GHARAMA YEYOTE,TAIFA HILI NI KUBWA KULIKO MISAADA YA EU,
View attachment 2030228
View attachment 2030229
Kama Mahakama ilitenda haki kwa Lengai Ole sabaya hakika itatenda haki kwa Freeman Mbowe,Hata majengo ya CCM
Chamadema ni watu wasiojali masilahi ya nchi hata kidogo pacha,
Leo Lissu anafanya nini Ubelgiji wakati Magufuli aliyetuaminisha alitaka kumuua alishakufa?
Leo Lemma anatafuta nini Canada?
Leo Wenje anatafuta nini Ulaya?
Leo Ngurumo anatafuta nini huko?
Watanzania tugutuke
Futa hiyo takataka, Rais, Makamu wake, PM, Spika na Niabu wake, Jaji mkuu hao wanashitakiwa wapi?Kama Mahakama ilitenda haki kwa Lengai Ole sabaya hakika itatenda haki kwa Freeman Mbowe,
No One is above The Low
Hata majengo ya CCM
Mahakamani,Futa hiyo takataka, Rais, Makamu wake, PM, Spika na Niabu wake, Jaji mkuu hao wanashitakiwa wapi?
iba MpyHaa ni kwaajilii ya CHADEMA?
Acheni Mahakama ifanye kazi yake.
Mahakamani,
Eti unakili kabisa hakuna mtu aliye juu ya Sheria wakati huo huo unakili kuwa viongozi wako wa juu wa serikali na Chama wana Kinga ya kutokushitakiwa kwa makosa yoyote yale!! You guys, are you seriously??Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu
Freeman Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kutenda kosa la Ugaidi na kesi inaendelea Mahakamani tena mfululizo hili dunia inajua
Utawala wa Sheria duniani kote ikiwemo EU unatamka kuwa "Hakuna aliyejuu ya Sheria " No one is above the law,
Je! Can't it be applied to Mr Freeman Aikaeli Mbowe?
CHADEMA mnataka kusema Freeman Mbowe kwa kuwa ni Mkt wa Chama chenu hawezi kutenda kosa?
CHADEMA na EU mnataka kusema Freeman Mbowe ni malaika wa nuru asiyeshawishika wala kutenda kosa?
Tunafahamu bifu kubwa lilokuwepo baina ya aliyekuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya
Miamba hii miwili ya kisiasa ilikuwa ikipimana nguvu pale Wilaya ya Hai kwa njia halali na zisizo halali,Hili wote tunalijua na CHADEMA mnalijua zaidi
Tukubaliane kuwa njia alizotumia Freeman Mbowe kutaka kumdhibiti Lengai Ole Sabaya ziliwafanya Mbowe na Sabaya kuvunja Sheria za nchi na wanaoweza ku-approve au ku-disapprove hili ni mahakama pekee kama chombo cha juu kabisa cha kutoa haki na wala sio Rais Samia
Kitendo Cha CHADEMA kuanza kuisiliba nchi yao kimataifa licha ya Juhudi kubwa zinazofanywa na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan katika kuirejesha nchi kidiplomasia halikubaliki na halitakubalika kamwe
Tujiulize, CHADEMA wanaogopa nini kama kweli Freeman Mbowe hana hatia Mbele ya Sheria?
Sote tunafahamu, CHADEMA ndio Chama chenye Mawakili wengi na nguli wa Sheria hapa Tanzania
Je? wamekwama wapi au nawao wamebaini ni kweli mteja wao anamakosa wanaamua kuigeuzia kesi hii Kisiasa kisa Freeman Mbowe ni mwanasiasa?
Kwanini leo wakimbilie kulichafua Taifa Kimataifa hata kabla ya hukumu yenyewe? Nini kimewasibu kwenye jicho la Sheria?
CHADEMA acheni kulichafua Taifa letu Kimataifa,mlisingizia Magufuli Leo tena Samia lazima mtambue Sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya hii
Mnatuumiza sana sisi watu wa chini
Sisi hatuna uwezo wa kuishi huko Ughaibuni Ubelgiji,Canada wala Scotland kama ninyi na familia zenu
Mnanenepa na kung'aa kuwazidi hata Wazungu kwa gharama za nchi yenu hakika hii ni mbaya sana brothers
Hiyo misaada mnayotaka tunyimwe na EU ndio inawafanya watoto wa Shangazi zenu wajengewe madarasa elfu 15 na Rais Samia Suluhu
Plze Brothers & Sisters STOP IT
WAAMBIENI "EU" TUTASIMAMIA SHERIA ZETU KWA GHARAMA YEYOTE,TAIFA HILI NI KUBWA KULIKO MISAADA YA EU,
View attachment 2030228
View attachment 2030229
KWA taarifa yako tunajua mchongo mzima wa sabaya na makonda kushtakiwa ili kuhalalisha mbowe kufungwa!!Kama Mahakama ilitenda haki kwa Lengai Ole sabaya hakika itatenda haki kwa Freeman Mbowe,
No One is above The Low
Mpuuzi wewe lala hukoMahakamani,
We jamaa utakua na chuk binafsi na hao uliowaorodhesha!Chamadema ni watu wasiojali masilahi ya nchi hata kidogo pacha,