EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Ingekuwa free state, ingekubali mbinyo wa WB, juu ya mtoto wa kike kurudi shule?ambapo mmebadirishia gia angani??"MASIKINI HUWA HANA MSIMAMO WA KUDUMU"huo ndio ukweli, msimamo wenu wa covid 19, uliishia wapi mbona leo umeufyata na kuchukua pesa zao na ndizo zinazojenga madarasa nchi nzima?
Mtaona kwa hili la Mbowe ili muamini We are free state indeed
 
Hilo unalilopotezea muda kulisemea la bifu la mbowe na sabaya hai ndio ugaidi? Unajua maana ya ugaidi na unafanyikaje? Na magogo yawekwe Dar,Moro na miji mikubwa ili kupambana na Sabaya
Mbowe achome visima vya mafuta kisa Sabaya?
Nchi isitawalike sio Hai kisa Sabaya
Plan ya kuua viongozi sio kiongozi mmoja
Na mpaka leo kuna kitu kimewasilishwa mahakamani kinachotoa hata chembe ya hicho kilichoelezwa kukata magogo,nchi isitawalike,kuua viongozi na kuchomwa mafuta?
Zaidi wamefanya janja tu ya kujipatia posho za bure za mahakamani wanadhani watz wajinga
Kesho wadai DPP hana Nia hiyo
Ndugu yangu tumia akili kuna Jambo linastahili kumtuhumu mtu Kariba ya mbowe au kiongozi yyt wa kisiasa lakini sio upuuzi huu
Hako ni kamfano tu nimetoa,kujustfy Mbowe anaweza kutenda kosa pia
 
Bajeti yetu 91.8% ni pesa yetu, Hata hili hujui?
Wee jamaa km umechoka lala tangu lini bajeti yetu ikawa hivyo labda ya nyumbani kwako inajiyosheleza ingekuwa hivyo tusingekopa ndani na nje kila uchao
 
Nafikiri EU wanafuatilia proceedings mahakamani na hawaridhishwi na baadhi ya maamuzi ya Majaji wetu...tujipange kama taifa..
 
===
Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa

Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu
Wanataka nn hawa jamaaa?
 
Back
Top Bottom