Uchaguzi 2020 EU declaration on the upcoming elections in Tanzania

Makabaila yanapambana kurejesha walivyopoteza na Lisu anatumika kuwasaidia kufanikisha mambo yao.

Alishasema ataweka mali zote rehani ili tupewe hela na wazungu.

Lisu ni way kuogopa kama ukoma.
Unapokuwa wa hali hii unajivunjia heshima mwenyewe.
Huna tofauti yoyote na hao wenye njaa waliomo humu JF.
 
Makabaila yanapambana kurejesha walivyopoteza na Lisu anatumika kuwasaidia kufanikisha mambo yao.

Alishasema ataweka mali zote rehani ili tupewe hela na wazungu.

Lisu ni way kuogopa kama ukoma.
Nini kilicho kupata stroke you used to be intelligent with sound opinions. Mbona unaanza kuleta pumba?
 
Binafsi naiamini ofisi ya sekretari pompeo huwa iko straight sio Hawa EU wazunguka zaunguka hata hatua huwa hawachukui
 
CCM WAMECHUKUA HELICOPER ZA TPDF KWENYE HANGA ZAKE ZA NGERENGERE NA DAR KUZIBANDIKA STICKER ZA CCM

WAKATI nchi inakabiliwa na vita na moto TPDF imeshindwa kutoa vyombo hivyo kwenda kukagua mlima au kwenda mtwara kwa kiwango cha kutosha huku pia ndege zake nyingi zikiwa grounded kwa kukosa service
na kufanya tanapa waingie gharama kubwa kukodi helicopters

helicopter tatu zina sticker za CCM na nyingine nne kubwa zinakuwa naye kumlinda kama rais wa nchi ... jumla 7

hiii ni kati ya hizo

View attachment 1609146
Acha uongo
 
Back
Top Bottom