eTurboNews: Tanzania not a place to invest in Africa...

Hahaha bila investors unadhani maendeleo yanatoka wapi? Wao ndio private sector na wanabeba ajora nyingi kuliko serikal + wanaliingizia pato taifa.. wakiondoka hali itakuwa tete zaid ya hapa?
Haumuoni waziro wa viwanda anavyohangaika kutafuta wawekezaji?
Sio ajira nyigi ni hadi rais analipwa mshahara kwa kodi ya wawekezaji hasa wakubwa.
Angalia kodi ya madini inayomilikiwa na wazungu kodi yake inalipa walimu wangapi
 
Sijui tutajisafishaje
Pole jk ulivutia wawekezaji lakini kichaa mmoja anawatimua wote kwa kujidai mjuaji
 
Back
Top Bottom