eTurboNews: Tanzania not a place to invest in Africa...

1541692610021.png
 
Aisee!Unajua hata maana ya investors kweli?Kama nchi haiwezi kuendelezwa na investors,sera ya viwanda tunategemea serikali ndio ijenge au?Mbona mnakuwa wajinga hivi?

Hao sio wajinga jamaa yangu. Wangekuwa ni wajinga wangefundishika lakini hawa kuwafundisha wakaelewa ni next to impossible.
 
Zamani tuliwapa misamaha ya kodi na sera za kubeba rasilimali zetu bure wakatupamba sana ila leo wamebanwa kwa maslahi ya taifa imekua tabu.
 
Haimaanishi uwepo wa TIC na uwekezaji ndio tegemeo eti Tanzania itaendelezwa na wawekezaji
Sio Tanzania tu,hata nchi zinazoongoza kwa uchumi bora na utajiri duniani zinategemea investors sembuse sisi. Usiwe driven na wishful thinking, kuwa realistic. Ni pale tu tutakapokubali ukweli kuwa uchumi utakua kwa kuendeshwa kiuchumi na si kisiasa na kukubali kuwa kwa sasa hutuendi kwenye direction sahihi hovyo tujiangalie tunapokosea,otherwise tujiandae kuendelea kutitia kwenye matope. Sina uhakika during Nyerere era ulikuwa na umri gani lakini usiombe turudi kwenye level ile lakini kwa sasa ndiyo uelekeo tunaoelekea.
 
Halafu sycophantic academics wa UDSM wanashangiliiiiiiiiiiiiaaaaa!!! nakusema tawile baba tawile

Hii ilipofikia inatia huruma aisee!!
 
Tanzania haiwezi kuendelezwa na Investors...Tuache hadaa!
Ulichagua jina baya kk ! Unajua kwa mujibu wa TIC, tuna wawekezaji wa ndani ,nje na ubia.
Wawekezaji hususani wa nje wapo sensitive sana na political stability ,then uchumi.
Kwa hali hii Unadhani MO, mtL amehold project za thamani gani!?
Mbali ya MO Watanzania wa kawaida je,!?
 
Ni yaleyale yale tunayolilia kila siku hapo yamewekwa kwa ki-elizabeth ili investors na international community waelewe hii sudani mpya.

Wamesahau kero ya kutisha ya wasiojulikna( unknown gainsters)
 
Back
Top Bottom