Eto'o in Cameroon quit threat

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
May 26, 2009
8,635
2,198
By Soccernet staff

Cameroon captain Samuel Eto'o has hit back at criticism from the country's striking legend Roger Milla, adding that his participation in the World Cup could now be in doubt.

samueleto'o2009_275x155.jpg
GettyImagesSamuel Eto'o could quit Cameroon.



Milla claimed earlier this week that Eto'o had "brought lots to Barcelona and Inter Milan but never anything to the Cameroon team", but Eto'o - who won the Champions League with Inter to add to his two triumphs with Barca in 2006 and 2009 - dubbed Milla "bitter".

"People should respect me and they must shut up, really shut up, because playing in the World Cup quarter-finals is not the same as winning the World Cup,'' he told Canal Plus. "It is always before tournaments that bitter people wake up. What has he [Milla] done? He hasn't won the World Cup... And then you wonder, 'are they my people?'. Are they really my people?''

Eto'o then made the stunning claim that he may not play for his country again and raised questions over whether he would make the trip to South Africa this summer.

"Is it worth me going to the World Cup?" he asked on the sidelines of an exhibition match in Paris. "I've still got some days to think about it but I'll see if my taking part is important because I don't need this in my career."

With four goals in five games at the age of 38 in Italia '90, Milla led Cameroon to the quarter-finals [the first African side to get that far] and is seen as the best African striker of his generation.
 
kumekucha manake waafrika sie majungu kila kona.hivi hile combination ya wachezaji aliokuwa nayo (etoo) pale barcelona au inter milan unaweza kutegemea kuifananisha na cameroon kiasi cha kwamba unamuomba etoo afanye mambo anayofanya kwenye club yake?


mie naona badala ya kumnyooshea kidole Eto'o ni vizuri Milla angewapa changamoto wachezaji wote kwa pamoja.Eto'o katoa machango wake na ataendelea kutoa mchango wake kama wachezaji wengine wanavyo stahili.


I hope Eto'o atampuuza Milla na kuendelea kuiongoza timu yake ya taifa.sio wakati muafaka huu kuanza kugawanyika.

kila la kheri nchi zote za Africa kwenye kombe la dunia.
 
Kwa mtazamo wangu naona Eto'o amekua quick kumjibu Milla through the Press.
Angejiuliza kama Milla was saying it as a challenge or kumkashif. I dont believe
Roger Milla amesema hii kitu kumsuta Eto'o but as a challenge so that he can
lead Cameroon to the WC Finals. Hii kuanza kujibizana na Milla through the press
is uncalled for in all fairness to both players.

Hii timu ya Cameroon ya sasa haifikii ya kina Roger Milla by any standards whatsover.
Hata Africa Cup imekua kazi kushinda.Wamisri wanchukua kila kukicha.At least back
in those days I could put my money on Cameroon to win lakini nowadays nawaona
kama washiriki tu.

Senti yangu hamsini hio.
 
Kwa mtazamo wangu naona Eto'o amekua quick kumjibu Milla through the Press.
Angejiuliza kama Milla was saying it as a challenge or kumkashif. I dont believe
Roger Milla amesema hii kitu kumsuta Eto'o but as a challenge so that he can
lead Cameroon to the WC Finals. Hii kuanza kujibizana na Milla through the press
is uncalled for in all fairness to both players.
mkuu si unajua mambo ya mastaa wawili lazima mmoja anataka kuonekana zaidi ndio matokeo yake.Eto'o kajibu hili kuonesha kiburi cha ustaa wake na Milla nae katumia ustaa wake kumponda Eto'o.
 
Wazungu wanaanzisha hizi vurugu katika timu za kiafrika kwa kuzusha majungu kama mbinu za kuwadhoofisha wachezaji kisaikolojia!! Waafrika hatutambui mbinu hizo tunaingia mkenge na kuanza kugombana wenyewe kwa wenyewe.
 
Wazungu wanaanzisha hizi vurugu katika timu za kiafrika kwa kuzusha majungu kama mbinu za kuwadhoofisha wachezaji kisaikolojia!! Waafrika hatutambui mbinu hizo tunaingia mkenge na kuanza kugombana wenyewe kwa wenyewe.

Mmmmhh! This's too low brother! Hapa wazungu wameingia vipi? Milla katoa dukuduku lake na Etoo kamjibu, bila kutumia mtu wa kati....nashindwa kuelewa unaposema wazungu wamehusika! Mentality kama hii ya kwako ndio inatufanya Afrika tubaki nyuma, maana kila matatizo yetu tunasingizia wazungu kwamba ndio source. It's high time we accept our faults and try to do something about them, instead of keep blaming the colonization for everything!!
 
Back
Top Bottom