MamaParoko
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 463
- 60
Ni nani kati ya hao mabwana hapo juu aliye mkali uwanjani anayeweza kuleta chachu ya ushindi ambaye siku akikosekana katika timu yake pengo lake linaonekana wazi, najua wanacheza position tofauti lakini wote kila mtu kwa namna yake wamepata mafanikio makubwa katika nyanja ya soka, at the end of it all nani jina lake litasimama juu ya wenzake?