Eto'o, Drogba, Essien

MamaParoko

JF-Expert Member
Jan 14, 2008
463
60
Ni nani kati ya hao mabwana hapo juu aliye mkali uwanjani anayeweza kuleta chachu ya ushindi ambaye siku akikosekana katika timu yake pengo lake linaonekana wazi, najua wanacheza position tofauti lakini wote kila mtu kwa namna yake wamepata mafanikio makubwa katika nyanja ya soka, at the end of it all nani jina lake litasimama juu ya wenzake?
 
Mamaparoko! ujue kuwa Babaparoko tayari yuko ktk JF kwa hivyo taratibu kama unataka kusifia bora uweke rohoni mwako! usije ukachwa ukasema hatujakuambia!

Anyway Inaonekana kama Essien.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom