Waafrika wawajia juu wanaopendekeza chanjo ya COVID-19 kufanyiwa majaribio Afrika

Hivi Hawa Etoo na huyu mwenziwe wao ndio wamekua wasemaji wa waafrica?

Waafrica ni watu wa ajabu sana, Hatuna mchango wowote kwenye maendeleo ya ulimwengu halafa tunang'ang'ania lazima tupewe heshima sawa. Nikama vile wanawake wanaodai usawa wakati ni tegemezi tu.

Tuache kulalamika.
Tunaweza kujitegemea ingawaj wanatulazimxha kuwategemea ili wapate sababu za kutunyonya

Sent using Jamii Forums mobile app
 


French doctors suggest testing Covid-19 vaccine in Africa, slammed as racist

Two French doctors proposed the idea of testing a potential coronavirus vaccine in Africa.
Their comments sparked outrage online, with many calling them racist.
 
Nilivyoona tu maandishi Etoo kiungo wa zamani wa Inter Milan na Chelsea , halafu eti Etoo kiungo wa zamani wa Senegal nkajua mwandishi kajitungia habari, ni mwanafunzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza jazba dada, ukweli utaendelea kubakia kuwa waafrica ni zero brain. Na ndio mana tutendelea kuwa mkia wa dunia
Huwa nakuangaliaga sana unavyobwabwaja.... Sidhani kama unajua mambo kuliko hao etoo, drogba na expert wengine.... Unaandika Africa zero brain huku confidently umepiga nne kwenye kochi la shemu wako unasubiri saa ngapi ifike uzime taa ulale hapo.
Wenyewe wanalalamika wameona kabisa kuna jambo halipo sawa...Wanawakilisha kundi kubwa nyuma yao... Na kama ni jambo zuri ni kwa faida ya wote hata wewe... Halafu wewe hatujaona mchango wako zaidi ya useless emoji... Grow up.
 
Labda lisitangazwe dau kwa atakaekubali kufanyiwa majaribio. Ikiwekwa pesa mezani wa afrika tuna msaliti etoo na wenzie mapema sana hata jogoo hajawika
Mkuu hapo kwenye USD tu, ndiyo utashangaa waliokuwa wanapinga wanaenda kimyakimya...

Na wakisema hawatafanya Tanzania, mathalani watapeleka majaribio Rwanda na Kenya, watalalamika kwanini chanjo imefanyiwa majaribio Kenya au Rwanda na siyo Tanzania wakati hapa ndiyo chimbuko la kihistoria la mwanadamu linapatikana... :D

Everyday is Saturday......................:cool:
 
Sterilization is knocking on the door.....

vaccin. Coroba.jpeg
 
Mkuu hapo kwenye USD tu, ndiyo utashangaa waliokuwa wanapinga wanaenda kimyakimya...

Na wakisema hawatafanya Tanzania, mathalani watapeleka majaribio Rwanda na Kenya, watalalamika kwanini chanjo imefanyiwa majaribio Kenya au Rwanda na siyo Tanzania wakati hapa ndiyo chimbuko la kihistoria la mwanadamu linapatikana... :D

Everyday is Saturday......................:cool:
😀😆😀 waswahili tulivo na njaa tutakuja na sababu kibao usishangae kabisa kumkuta mwanamme anaongea kwa hisia kuwa kwanini majaribio yapelekwe Rwanda wakati Tz imezipigania uhuru nchi kadhaa kusini mwa jangwa la sahara na bado ina vikosi darfur na drc 😀😆
 
Yaan waafrica tunapenda lawama sana/ sasa mtoa mada kaanza vizuri lakin mwishoni unaleta chuki zako za waziwazi.
Hata leo wakisema waafrika wacheze soka huko huko kwao bado watalalamika lakini wakitenga mamilioni ya dola kuja kusaidia waafrika Masikini watabaki wanachekelea, wakisema Tunaondoa misaada Afrika kwa sababu Afrika siyo masikini hao hao watapinga kwa kutuma picha za watu walioathirika na vita huko Sudan na Somalia.
Wakisema Afrika wanaathirika sana na UKIMWI tuwapelekee dawa na misaada wanachekelea, wakisema tunataka tukajaribu chanjo hii ya UKIMWI Afrika tunaanza kupiga kelele.
Kama kuna hiyo chanjo ya COVID19 mimi naishauri iletwe tu Afrika, sababu haya mambo ya total lock down Afrika kamwe hayatawezekana, sasa kama wanajidhani wao wapo kamili kihivyo haya na tuwemo.
 
Back
Top Bottom